Kutoka Newala: Mkuchika na Wana Newala....

Kutoka Newala: Mkuchika na Wana Newala....

Hela hizo si zake binafsi ni za jimbo..

Ye anasema ni zake! namnukuu "nina marafiki na mimi pia nina kipato, nimenunua bati 3000, nimesambaza kwenye misikiti, makanisa na shule, pia baiskel 47 za walemavu...."
 
Unategemea aseme nini.Wakati alie muweka hapo ni yeye ili atekeleze matakwa yake.:rockon:
 
Unategemea aseme nini.Wakati alie muweka hapo ni yeye ili atekeleze matakwa yake.:rockon:

ye ataona mambo yalivyo magumu kwa ku work for the sake of his stomach and forget abt his people, who gave hm that chance!..
 
Back
Top Bottom