Kutoka Newala: Mkuchika na Wana Newala....

Kutoka Newala: Mkuchika na Wana Newala....

Anasifu newala ina vijana wastarabu, na waondoe woga! hawawezi kuwa na chama chenye wanachama %7. newala! afu kiwasumbue! vijana anaowasifu, ndiyo wanaomzomea.
 
yeye kama mbunge anamarafiki na yeye ana kipato, amenunua bati 3000 amegawa kwenye makanisa, misikiti na mashuleni, amenunua baiskeli 47 za walemavu...maendeleo yake hayo!!

Aseme amenunu Madawati mangapi? Vitabu? Madaftari? Mají ametatua vipi? Umeme? Afya? Na sio kununu amabati 3000 ambayo thamani yake haifiki hata 10Mil.
Wakati mfuku wajimbo ni zaidi ya milioni 200. Amepeleka wapi hizi hela?
 
Mkuchikaaa...anaifananisha Newala na Moshi!!
kwa upande wa rasilimali,
 
Huyu jamaa kashachanganyikiwa! anasema %16, inaenda dar na %84...inabaki, watu wanazomea! anasema ye hana shida watu wanapiga kelele lakini ye hakosi usingizi...yeye mbunge anasema gesi ataruhusu iende.
 
Newala itakuwa na umeme hadi vijijini kama kilimanjaro...mayowe kwa mbali! na anasema swala la gesi linaendelea...na gesi itaenda dar!
 
Wanaopinga ni wale ambao hawajasoma, na hawajui lolote kuhusu gesi!
 
Anasema mambo yaliyotokea masasi na mtwara ni organised crime...
 
Wendawazimu hao! wanaokataa gesi isiende dar, ni wauwaji hao!! maneno ya mkuchika hayo.
 
wapige picha na waambie viwanda vya korosho wameua ccm na sasa gas wanauza ccm 2015 kura ccm!

Mkuu umeongea jambo la uchungu sana kwa watu wa Kusini (Korosho) kama wiki nzima nilikuwa pande za huko, Liwale, Masasi na Tandahimba dah! nilisikia kilio kikali cha wakulima wa zao la korosho kuhusu stakabadhi ghalani na makato kibao kwenye kila kilo moja ya korosho, hapo ndio nikajua hata zile hasira za kugomea gesi zilitokana na mengi, hakika Mkuchika na CCM hawana cha kuwaambia wana Kusini wakaeleweka kirahisi.
 
anadai, wanaosababisha fujo ni watu wa tandahmba.
 
Anamsifu tajiri wa nigeria aliyekuja na private jet mtwara kujenga kiwanda cha saruji...
 
Tuwekee picha wengine tunapenda kuona wanawake wa Newala
 
Anawasifu vijana wa newala. kuwa ni wastarabu! wakati hao hao ndio wanamzomea.
 
Back
Top Bottom