Kutoka Newala: Mkuchika na Wana Newala....

Kutoka Newala: Mkuchika na Wana Newala....

Nashangaa mikutano yoyote mkoa wa mtwara inayojadili mambo ya GESI ilipigwa marufuku huyu mkuchika amefanya mkutano ameongelea mambo ya gesi yuko juu ya SHERIA ZA TANZANIA???

Ni mabavu tu! tena anaongea bila aibu...
 
Magamba siku zote hawana aibu!wamesahau kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho au kina mwisho na mwanzo.
Ngoja tuwasubiri 2015!

Watatafuta pa kwenda! hawa jamaa (ccm) ndio watakao leta shda coz hawapo tayar kuachia
 
Magamba siku zote hawana aibu!wamesahau kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho au kina mwisho na mwanzo.
Ngoja tuwasubiri 2015!

mkuu kuna wabunge wa ccm ambao wameshajikatia tamaa kabisa kurudi tena bungeni japo kuna wengine wanajifanya nyama ngumu.majimbo haya yapo wazi
1. Arumeru magharibi
2. Newala
3. Mtwara vijijini
4. Kilosa
5. Ifakara
6. Kilombero
7. Bunda
mengine yaja..........
 
8. Tandahimba.
 
bora newala mnaemuona mkuchika hawa tandahmba wanaopondewa kwa vurugu nikama vile hawana mbunge toka amechukua ubunge MH. JUMA NJUAYO hajawahi kuitisha mkutano wowote wakuongea na wananchi wake kwahy hawana kiongozi wakuwaanbia kipi sahh kufanya na lipi halifa. na kuhusu TANECU hawataki hatakuisikia wanakuambia nibora (olamu) warudi.
 
8. Tandahimba.

Mkuu gaurio, upo Tandahimba? Njwayo yupo, naweza kukuelekeza jinsi ya kumpata huyu jamaa..bado yupo Tandahimba anaweza kuondoka leo au kesho..anazunguka zunguka na mnissan wake mwekundu...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu gaurio, upo Tandahimba? Njwayo yupo, naweza kukuelekeza jinsi ya kumpata huyu jamaa..bado yupo Tandahimba anaweza kuondoka leo au kesho..anazunguka zunguka na mnissan wake mwekundu...

nalipata na huwa mara nyingi anajichimbia MCHICHIRA gari kuna washkaji wanazunguka nalo. Na hajawahi kuitisha mkutano na wanatandahimba wake. Na ndo mana mabomu huwa yanapigwa sana huku.
 
Last edited by a moderator:
nalipata na huwa mara nyingi anajichimbia MCHICHIRA gari kuna washkaji wanazunguka nalo. Na hajawahi kuitisha mkutano na wanatandahimba wake. Na ndo mana mabomu huwa yanapigwa sana huku.
Nimekusoma kamanda..mi mwenyewe nimkazi wakusini..Likolombe ndiyo makao yangu makuu..
 
Wakuu, kuna kitu jana kilinifurahisha wakati mkutano wa Mkuchika unaendelea...
jana jamaa walikuwa wana usalama wengi sana ambao wengi wao walivalia kiraia na wengine walijifanya vichaa..

sasa nikiwa pale mkutanoni kuna jamaa mmoja, huyu alivaa kichizi chizi, na alikuwa makini sana kunifuatilia Na nilimshtukia mapema sana kwa sababu kila nikishika simu alijitahidi sana kujua nina andika nini.. Alishindwa kwa sababu nina mzidi urefu..

Alinifuatilia kwa karibu sana, na alivyojua nimemgundua siyokichaa na nilijua anazuga, alizidisha mbwembwe za uchizi.. Mwisho wa siku huyu jamaa chizi (TISS)..

aliniomba simu apige ila nilivunga kama sijamsikia..
Basi akajidai kutaka kunipokonya ila kuna vijana pale wakamzonga na kutaka kumpiga ni kichaa asiyejulikana Newala...

kilichomsaidia ni ile hali aliyokuwa nayo ya ukichaa..Hakufanikiwa kwa lolote..
Na baada ya ule mkutano bado nilimwona kama alikuwa na interest na mimi coz alinifuata kwa nyuma..

Nilimwambia jamaa yangu kuhusu huyu mtu aliyekuwa anakuja nyuma yetu kidogo kuwa ni mwana usalama...

na tulizuga kuingia kona moja ili atufuate na tulipanga kumshika na kumkagua..sema alishtuka na hakuendelea kutufuatilia...

Ana bahati sana yule kichaa feki..jana tungemwaibisha na TISS yake.. kwa mbinu zao za kishamba kufuatilia watu...
 
Mtu wa watu haitaji polisi.Mtu wa watu Polisi wake ni wananchi wake... hapa pa Mkuchika pana tatizo..
 
Back
Top Bottom