Point kubwa Iko hapa,na hata akipata Wala haitodumuukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa
Upo sahihi. mimi Kuna Mademu wawili wameolewa na Wana Waume zao ila Ndio haipiti Mwezi wananitafuta .. Na Mwingine ana mtoto kabisa ..Wanaokua na presha za kuolewa ukichunguza kwa umakini utagundua ni umri umeenda halafu maEx wake karibia wote wameoa au wana familia zinazoeleweka.
Kwahiyo anatamani ndoa ya fasta fasta ili awaringishie mabwana zake na mashosti kua hajachuja ingawa walimuona yupo fungu la kukosa.
Hawa wa namna hii ndio wakishaizoea ndoa wanaanza kujirudisha kwa maEx taratibu kwa chatting za wizi wizi na mwisho wa siku wanarudisha mapenzi katika machaka yao ya zamani. Inakua kama umeoa mke asiyekua wako tu.
Yani nikae na binti yangu aanze kuniongeleshea mahusiano ya mtu ambaye hajaja kujitambulsha, huyo mtoto atakua hana akili.Waza tu wewe mleta mada ni mzazi (baba) halafu binti yako akwambie yuko kwenye mahusiano wa kimapenzi na kijana asiyejulikana, hajui kama ataolewa naye, kijana hajui ni lini ataoa na hana mpango wowote wa kuoa wala kujitambulisha lakini anakula mzigo kwa kwenda mbele.
Sasa utamuunga mkono binti yako aendelee na huyo mvulana au utamzingua binti aachane na huyo kijana?
Hizi ni scenario za kawaida kwa sasa kwenye maisha ya sasa, wewe ni mzazi (baba) umeona mwenendo usioleweka kwa binti yako, ukaamua kumuuliza, akawa mkweli na muwazi kwako (kwamba yuko kwenye mahusiano lakini yasiyoeleweka), wewe mzazi utafanyeje? Utakwepa?Yani nikae na binti yangu aanze kuniongeleshea mahusiano ya mtu ambaye hajaja kujitambulsha, huyo mtoto atakua hana akili.
Tatizo la nguvu za kiume chanzo chake kikuu ni kipi?Mwanaume anatumikaje? Kwa nijuavyo mwanaume ndio anatumia.
Haya maswali yaende sambamba na tabia njema inayoshawishi aoleweHao wanawake wako sahihi kwa 100%.
Mimi binafsi nasema hao ndio wanawake wanaojitambua. Mwanamke yoyote mwenye kujitambua ni lazima atauliza haya maswali mapema kabisa kwenye mahusiano.
1. Una mpango gani na yeye?
2. Je utamuoa?
3. Umepanga kumuoa lini?
4. Utakwenda lini kwao kujitambulisha?