Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Hee na mimi nipo hapa fyatanga nakunywa supu...huyu anataja one billion kirahisi tuuuu!! Miwatu mingine banah!!

ahahahahahahaha yani bilyon apewe na k nayo apewe!
ye kazi yake kutoa libolo FC tu(hiv hii timu ya Angola bado ipogi?
mxxxxxxxxxxxxxxxxxiou asitujazie server hapa!
 
Ela ni shetani..uyo alijua mke wa mtu uko wamebwagana anakuja kukupa sifa za kjnga et ww ndo unamfksha kilimani cjui akupe 1billion cjui nn
Kua na msimamo mwanamme pesa na kulewesha sifa za kjnga ztakuponza kjana
Lea familia yk mkuu....yeye nw ndo hawez kuish bla ww???mbn miaka yt hyo aliyoondoka aliishije muulze
Inashangaza sana mkuu!
 
Toka hapa na vistori vyako vya kitoto mpelekee demu wako. Et "one bilion," unaijua hiyo ww?
 
Nimesoma na kuelewa na sasa nakupaushauri. Kama ifutavyo:

1. Kuna maswala matatu ambayo nayaona kujitokeza, kuna ex mchumba kujitoa uhai eti bcz amekosa penzi lako plus vikorombwezo ulivyoweka mfn kileleni n bla bla.
Pili ni ex kuwa 2nd wife na tatu 1.bln
2. Maswala mawili ya mwanzo yanaweza kuwa na chembe za uhalisia ila hili la tatu umelitia chumvi mno kiasi thread nzima imeingia ushuzi wa twiga ...watu wanakuona umeleta kahawa hapa MMU.

3. Point nayo iona kwako kwanza huna msimamo na ndoa yako, ulitendwa kama ulivyo dai ukajiuguza then ukaoa, sasa close comm na huyo mzungu mweusi ya nini!?, hata kama alikusaka yeye ilikuwa rahisi kumpa msimamo then ukakaa kando. Kingine unaonekana huna ufahamu na mambo ya pesa.

Kwa nchi hii 1bln ni hela ambayo mlolongo wake si mchezo kuna BoT wataingilia kati kuna usalama wa taifa, takukuru, international money traffic control sababu itakuwa ni transctn ya kutoka nje.. wataingia kati...wote ni kutaka kuthibitisha uhalali wa umiliki.

Amekaa nje kwa muda gani hizo pesa kazikusanyaje au ndio ile michezo ya kitoto mkopo wa nyumba then unatoka mbio. Siku nyingine sumbua bongo za wakuu kwa hoja maridhawa si ukweli kidogo kahawa kidogo unaudhi, thread inatuonyesha amekuwa mchepuko so unaendelea nae ndio ukuja kuomba ushauri...alaah

nina mashaka na hii hadhithi!
 
Far better it is to dare mighty things, to win glorious triumphs, even though chequered by failure, than to take rank with those poor souls who neither enjoy much nor suffer much, because they live in the grey twilight that knows neither victory nor defeat.
 
Siku hizi hela yetu imeshuka thamani sana, bilion inamilikiwa na kila mtu.
 
Mwambie aingize Million 500 kwenye a/c . Then sepa (Toa fasta kama za IPTL). Ila vijana wa siku hizi kweli tuna matatizo-mtu kakudampu-kisa hela unaomba ushauri!!! Hela kitu gani bhana, tafta zako hata kama ni Milion 7.
 
pesa kitu gani??achana nae mwambie aoe hela zake we baki na familia yako
 
Bukwabi, wakati yeye anakuacha aliyafikiria maumivu aliyokusababishia? Mwache ajiue tu, sidhani kama upo tayari ku-risk ur family's safety just because ur ex wants kill her self, unless u have something else in mind.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh!billion ya zimbabwe au ya uganda?Hebu fafanua sijakuelewa vizuri
 
Nataka niweke mezani ONE BILLion(tamka bilyooon)umwache Kaunga!

Unazidi mfanya Kaunga anipende ....manake kama bilioni inawekwa mezani halafu narudi nae home kula migebuka......anashindwa kunishangaa...
 
Last edited by a moderator:
Bukwabi, wakati yeye anakuacha aliyafikiria maumivu aliyokusababishia? Mwache ajiue tu, sidhani kama upo tayari ku-risk ur family's safety just because ur ex wants kill her self, unless u have something else in mind.

Asante kwa ushauri wako Mkuu. Nitaufanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom