Huyu sio mwanaume ni mvulana bado ndio maana hajitambui bado!Hii mbona kama ni promotion tu? Mwanaume(sorry) umeoa na mke na watoto juu unaomba ushauri jambo dogo kama hili?msimamo wako ni upi?
Halafu unaposema I quote "hamna mwanaume anayemuonyesha mapenzi ya kweli na kumfikisha kileleni kama mimi" (just curiosity)
Wana MMU, Umuofia kwenu.
Kuna kisa kimenikuta nimeona sehemu pekee ya kupata ushauri na mawazo mapana ni kwenu.
Nilikuwa na mchumba ambaye tulikuwa tunapendana sana na muda si muda tungefunga pingu za maisha. Ghafla mwenzangu alipata safari ya kwenda Marekani na kuniomba tuahirishe zoezi mpaka atakaporudi kwani asingechukua muda mrefu.
Nikamkubalia; akakwea zake pipa na alipokuwa huko mawasiliano kwa njia za mtandao yaliendelea. Siku moja akaniambia hawezi tena kuolewa na mimi kwa kuwa alikuwa anataka kufunga ndoa na mtu mwingine. Nilisononeka sana kwa namna nilivyompenda, lakini nikawa sina namna zaidi ya kumtakia kila la heri katika mahusiano yake hayo mapya. Baada ya kuuguza maumivu, nikapata" material wife" na tukafunga pingu za maisha. Sasa nina miaka kadhaa kwenye ndoa.
Hivi karibuni aliyekuwa mchumba wangu karejea kutoka America na akanitafuta kwa udi na uvumba na akafanikiwa kunipata. Ananiambia bado ananipenda na yuko tayari kutoa gharama yeyote ili nimwache mke wangu.
Kaweka "one billion" nikamtolea nje! Nikamweleza namna ambavyo tunaishi na mke wangu na watoto kwa amani na kwamba nampenda mke wangu na watoto sana. Hivyo pendo langu kwake limeshapata replacement.
Baada ya majadiliano ya muda mrefu mrefu akarealize kwamba hawezi kunishawishi kwa namna yeyote kumwacha my beloved wife, akaingiza hoja nyingine ya kuwa second wife kwani hawezi kuishi bila mimi.
Na kwamba kama nikimkatalia na hilo basi hana haja ya kuendelea kuishi. Anasema kama pesa anazo lakini kakosa mwanamme aliyemwonyesha mapenzi ya kweli na aliyemfikisha kileleni kama mimi. Hilo ndo linanitisha nikaona niliweke kwenu wadau.
Karibuni kwa ushauri.
heti hana haja ya kuendelea kuishi,kama wewe ungejua alivo kufanyia mwanzoni alitaka aje hakute kaburi.huyo mwanamke kavurugwa kabisa tena futa mawasiliano naye usije jikuta hanataka wote mfanane kwa kukosa.pesa yake akasaidie kwaoWana MMU, Umuofia kwenu.
Kuna kisa kimenikuta nimeona sehemu pekee ya kupata ushauri na mawazo mapana ni kwenu.
Nilikuwa na mchumba ambaye tulikuwa tunapendana sana na muda si muda tungefunga pingu za maisha. Ghafla mwenzangu alipata safari ya kwenda Marekani na kuniomba tuahirishe zoezi mpaka atakaporudi kwani asingechukua muda mrefu.
Nikamkubalia; akakwea zake pipa na alipokuwa huko mawasiliano kwa njia za mtandao yaliendelea. Siku moja akaniambia hawezi tena kuolewa na mimi kwa kuwa alikuwa anataka kufunga ndoa na mtu mwingine. Nilisononeka sana kwa namna nilivyompenda, lakini nikawa sina namna zaidi ya kumtakia kila la heri katika mahusiano yake hayo mapya. Baada ya kuuguza maumivu, nikapata" material wife" na tukafunga pingu za maisha. Sasa nina miaka kadhaa kwenye ndoa.
Hivi karibuni aliyekuwa mchumba wangu karejea kutoka America na akanitafuta kwa udi na uvumba na akafanikiwa kunipata. Ananiambia bado ananipenda na yuko tayari kutoa gharama yeyote ili nimwache mke wangu.
Kaweka "one billion" nikamtolea nje! Nikamweleza namna ambavyo tunaishi na mke wangu na watoto kwa amani na kwamba nampenda mke wangu na watoto sana. Hivyo pendo langu kwake limeshapata replacement.
Baada ya majadiliano ya muda mrefu mrefu akarealize kwamba hawezi kunishawishi kwa namna yeyote kumwacha my beloved wife, akaingiza hoja nyingine ya kuwa second wife kwani hawezi kuishi bila mimi.
Na kwamba kama nikimkatalia na hilo basi hana haja ya kuendelea kuishi. Anasema kama pesa anazo lakini kakosa mwanamme aliyemwonyesha mapenzi ya kweli na aliyemfikisha kileleni kama mimi. Hilo ndo linanitisha nikaona niliweke kwenu wadau.
Karibuni kwa ushauri.
Tena usawa huu wa kufuatiliana mpaka kwenye account kujua hiyo billion moja source yake ni nini...kweli hapo inabidi utumie za "mbayuwayu"Milioni elfu moja kununua penzi[emoji32][emoji32][emoji32]. Za kuambiwa changanya na zako[emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]