Mwambie aingize Million 500 kwenye a/c . Then sepa (Toa fasta kama za IPTL). Ila vijana wa siku hizi kweli tuna matatizo-mtu kakudampu-kisa hela unaomba ushauri!!! Hela kitu gani bhana, tafta zako hata kama ni Milion 7.
Wana MMU, Umuofia kwenu!
Kuna kisa kimenikuta nimeona sehemu pekee ya kupata ushauri na mawazo mapana ni kwenu!
Nilikuwa na mchumba ambaye tulikuwa tunapendana sana na muda si muda tungefunga pingu za maisha. Ghafla mwenzangu alipata safari ya kwenda Marekani na kuniomba tuahirishe zoezi mpaka atakaporudi kwani asingechukua muda mrefu.
Nikamkubalia; akakwea zake pipa na alipokuwa huko mawasiliano kwa njia za mtandao yaliendelea. Siku moja akaniambia hawezi tena kuolewa na mimi kwa kuwa alikuwa anataka kufunga ndoa na mtu mwingine. Nilisononeka sana kwa namna nilivyompenda, lakini nikawa sina namna zaidi ya kumtakia kila la heri katika mahusiano yake hayo mapya. Baada ya kuuguza maumivu, nikapata material wife na tukafunga pingu za maisha. Sasa nina miaka kadhaa kwenye ndoa.
Hivi karibuni aliyekuwa mchumba wangu karejea kutoka America na akanitafuta kwa udi na uvumba na akafanikiwa kunipata. Ananiambia bado ananipenda na yuko tayari kutoa gharama yeyote ili nimwache mke wangu.
Kaweka one billion nikamtolea nje! Nikamweleza namna ambavyo tunaishi na mke wangu na watoto kwa amani na kwamba nampenda mke wangu na watoto sana. Hivyo pendo langu kwake limeshapata replacement.
Baada ya majadiliano ya muda mrefu mrefu akarealize kwamba hawezi kunishawishi kwa namna yeyote kumwacha my beloved wife, akaingiza hoja nyingine ya kuwa second wife kwani hawezi kuishi bila mimi.
Na kwamba kama nikimkatalia na hilo basi hana haja ya kuendelea kuishi. Anasema kama pesa anazo lakini kakosa mwanamme aliyemwonyesha mapenzi ya kweli na aliyemfikisha kileleni kama mimi. Hilo ndo linanitisha nikaona niliweke kwenu wadau!
Karibuni kwa ushauri.
Kuwa na amani na upendo katika familia ni jambo jema, ukisha vipoteza gharama yake ni kubwa muno, husidhubutu kumkubalia.
1 billion.......

Kha! Bilioni moja hii hii hela ya madafu? Katoa wapi mpunga wote huo?
First mkeo sio material wife ni wife material...Halafu hili la one billion sounds like bongo movie...
Sory za kutunga zimekuwa nyingi sana MMU khaa!
One Billion ya Zimbabwe labda!
Rahisisha kama hivi:One Billion Tanzania shilling = 1,000 Million
Hela hiyo mkeo huyo unayasema unampenda ungemuacha tu na angekubali kuwa mchepuko kwa makubalino uwe unamkumbuka kwenye ufalme wako mpya!
Mpunga mrefu sana huo na huko USA mbona wengi sana wanaishi na kurudi hawajawahi kuja hata na 1/10 ya hela hiyo?
Mume uko sana kumbe ahhahhha honey wasup mzima i miss u mweeeh
Ile issue yetu bado kimywa toka kwako mbona?Rekebisha bana tusonge mbele pls
Ahhha bado una nia tu nilijua ushakata tamaa