Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Tangu nianze kusöma story za JF, sijawahi kukutana na story ya kusadikika kama hii. Hata Shigongo hawezi kuichapisha kwenye migazeti yake ya udaku.

hahahaha one billiona ina sifuri ngapi babu
 
Sifuri tisa mpenzi. Na umri wangu huu, changanya vimshahara vyangu vyote (ambao si wa kuchezea) na wa bibi yako (ambao si haba) na wa baba na mama yangu..... bado hiyo makitu hatuinusi.

Lakini mwenzetu wa Bongo movie anazawadiwa K kwa 1b mchana kweupeee. Hakyamama kuna wanaume wana mibolo ya dhahabu walah
 
Hadithi njoo uongo,utamu kolea! Kama kweli mwambie apite hivi=====>....,huwa hatulaji matapishi hata kama yaweje matamu(pesa)
 
Sifuri tisa mpenzi. Na umri wangu huu, changanya vimshahara vyangu vyote (ambao si wa kuchezea) na wa bibi yako (ambao si haba) na wa baba na mama yangu..... bado hiyo makitu hatuinusi.

Lakini mwenzetu wa Bongo movie anazawadiwa K kwa 1b mchana kweupeee. Hakyamama kuna wanaume wana mibolo ya dhahabu walah

hahahaha ndo ujue wajukuu zako wa kiume wanakuzidi iq lol
 
Aiseeee! Chukua hatua... Mchepuko sio dili, baki njia kuuuuuu. We waogopa atakufa kwa ajili yako ww mbona ulishakufa kwa ajili yake na ulipofufuka ukapata wako wa kweli. Bil 1 kamwe haiwezi nunua aman.
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wrote...itakuvuruga huyo mpaka basi..pia utahatarisha maisha yako na familia pia..ni mtu hatari kwako kwa sasa...
 
Sifuri tisa mpenzi. Na umri wangu huu, changanya vimshahara vyangu vyote (ambao si wa kuchezea) na wa bibi yako (ambao si haba) na wa baba na mama yangu..... bado hiyo makitu hatuinusi.

Lakini mwenzetu wa Bongo movie anazawadiwa K kwa 1b mchana kweupeee. Hakyamama kuna wanaume wana mibolo ya dhahabu walah

lako kama la shaba utaishia kununua bia fyatanga tu!
hem pisha kwanza namtongoza The Boss .kumbe bilyoon inafaa enh?
 
Last edited by a moderator:
Kaka unaongelea milioni elfu moja au Nimesoma vibaya?
 
Onyo kwa mpika udaku: Acha kudhihaki hela..one billion unaitajataja kama papuchi ya kimada wako!!!
 
lako kama la shaba utaishia kununua bia fyatanga tu!
hem pisha kwanza namtongoza The Boss .kumbe bilyoon inafaa enh?
Hee na mimi nipo hapa fyatanga nakunywa supu...huyu anataja one billion kirahisi tuuuu!! Miwatu mingine banah!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom