Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

as your temper goes down..you can re-read the below comments...


Bora angeanza na neno story kwanza
























I REPEAT..NEXT TIME COME UP WITH A BETTER SCRIPT
....

Bora angeanza na neno story kwanza
 
Tangu nianze kusöma story za JF, sijawahi kukutana na story ya kusadikika kama hii. Hata Shigongo hawezi kuichapisha kwenye migazeti yake ya udaku.
 
Tangu nianze kusöma story za JF, sijawahi kukutana na story ya kusadikika kama hii. Hata Shigongo hawezi kuichapisha kwenye migazeti yake ya udaku.

uko wapi ndugu yangu mis uu sana
 
Huyo mdada naweza kusema namuelewa anacho kisema kua Hakuna anae mfikisha Kama wewe Hilo inawezaa kua ni kweli ila jee utaamini vp kumkabidhi moyo wako tena? Mwambie ndoa huandikwa mbinguni, Kama mola ameandikaa mtaoana japo mkae usiku mmoja Kama mume na mke, na alivyo kuiingiliaa kwa gear ya pesa wewe penzi lako haliuzwi wala mapenzi hayanunuliwi....zidishaa mapenzi kwa mkeo achana na Huyu mcharuko....
 
Wana MMU, Umuofia kwenu!
Kuna kisa kimenikuta nimeona sehemu pekee ya kupata ushauri na mawazo mapana ni kwenu!
Nilikuwa na mchumba ambaye tulikuwa tunapendana sana na muda si muda tungefunga pingu za maisha. Ghafla mwenzangu alipata safari ya kwenda Marekani na kuniomba tuahirishe zoezi mpaka atakaporudi kwani asingechukua muda mrefu.

Nikamkubalia; akakwea zake pipa na alipokuwa huko mawasiliano kwa njia za mtandao yaliendelea. Siku moja akaniambia hawezi tena kuolewa na mimi kwa kuwa alikuwa anataka kufunga ndoa na mtu mwingine. Nilisononeka sana kwa namna nilivyompenda, lakini nikawa sina namna zaidi ya kumtakia kila la heri katika mahusiano yake hayo mapya. Baada ya kuuguza maumivu, nikapata” material wife” na tukafunga pingu za maisha. Sasa nina miaka kadhaa kwenye ndoa.

Hivi karibuni aliyekuwa mchumba wangu karejea kutoka America na akanitafuta kwa udi na uvumba na akafanikiwa kunipata. Ananiambia bado ananipenda na yuko tayari kutoa gharama yeyote ili nimwache mke wangu.

Kaweka “one billion” nikamtolea nje! Nikamweleza namna ambavyo tunaishi na mke wangu na watoto kwa amani na kwamba nampenda mke wangu na watoto sana. Hivyo pendo langu kwake limeshapata replacement.

Baada ya majadiliano ya muda mrefu mrefu akarealize kwamba hawezi kunishawishi kwa namna yeyote kumwacha my beloved wife, akaingiza hoja nyingine ya kuwa second wife kwani hawezi kuishi bila mimi.

Na kwamba kama nikimkatalia na hilo basi hana haja ya kuendelea kuishi. Anasema kama pesa anazo lakini kakosa mwanamme aliyemwonyesha mapenzi ya kweli na aliyemfikisha kileleni kama mimi. Hilo ndo linanitisha nikaona niliweke kwenu wadau!

Karibuni kwa ushauri.

Bongo movie hii..
 
baki na mke wako achana naeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
1 billion mkuu unaijua au umeandika tu
 
Please stay away from that woman.Hivi leo umepata nini siku ile ulikosa.Ulimfanya proirity akakufanya option ,so move on na familia yako.Achana nae hata kupokea simu zake
 
baki na mke wako achana naeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
duu ama kweli unampenda mkeo safii nakuombea usibadili mawazo
 
1 billion..... hahahhaha story zingine banah!!!! au una dushe la dhahabu linamwaga oryx-ges lol!!!!
 
kama muislam oa kama mkristo imekula kwako...uislam raha si raha????? rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom