Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

mgoteee nii hatariii nendaa coet au dit uulizee,ilee nambaa nyingnee ya physics advance
 
Hahahahahhh... "They are my friends" muddy
 
"The time is almost approach to zero,let us end here.Tomorrow we will see how transistor works"
 
Dah hao jamaa wote ni watabe ila Muddy ana mbwembwe flam hiv za kukufanya utamami kurudi kesho
Jamaa ana talent ya hali ya juu ya ufundishaji
 
mtiga mwisho, nimepata bahati ya kupitia kwa walimu hao wote, mudy physics mkali o-level, side kama unataka notes ila c maelezo ya kina, mtiga kama unataka kujua physics a level kiundan !
Ukitaka kujua kwenye miti mingi hakuna wajenzi
Nimesoma na mdogo wake Mtiga wa damu kabisa na wanakaa nyumba moja lakini dogo kapiga zero form four
 
Mleta mada naomba uongeze jina la nne hapo halafu uone hao watatu watakavyofunikwa mbali,muweke Mwaramy.Niaje man naona ileeeeeee
 
Nimesoma kwa mudy physics from form 1-6 na nilisoma pia kwa mgote baadhi ya topics za form 5 ila bado mudy yupo juu kwa mgote.Kiboko wa wote ni Mwaramsha wa kkoo mtaa wa Tandamti karibu na msikiti wa nadina .Jamaa atakuwa alizaliwa anajua ku solve...naona man ileeeeeee
 
Moody Ngaola "commissiner" huyu mtu respect nyingi sana kwake
 
Back
Top Bottom