Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

flyn ryder

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
656
Reaction score
86
Hebu niambie, nani mkali wako kati ya hivyo vichwa hapo juu?

Mimi kiupande wangu Mtiga anatisha.
 
vijana wa mchikichini... vp aiden bado yupo!!??
 
Asee mudy physics alifanya nikawa mchunguzi wa mambo kwa stail ya ufundishaj wake tokea form two enzi hizo kidogo mchikichini ndo ilikuwa shule yangu huku kwingine walimu class walikuwa shallow than they actual are walimu wa voda faster mtiga ni hataree
 
Mtabe wa wote hao ni Kihombo tu.Mgote yeye amemeza madude tu,Moddy ni flag tu labda Mtiga ndo huwa nasikia ni mkali mkali.

mtiga mwisho, nimepata bahati ya kupitia kwa walimu hao wote, mudy physics mkali o-level, side kama unataka notes ila c maelezo ya kina, mtiga kama unataka kujua physics a level kiundan !
 
mtiga mwisho, nimepata bahati ya kupitia kwa walimu hao wote, mudy physics mkali o-level, side kama unataka notes ila c maelezo ya kina, mtiga kama unataka kujua physics a level kiundan !

Upo sawa..ukitaka kujua phy sio kukariri piga pindi la mtiga then notes kachukue kwa mgote
 
Back
Top Bottom