Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,658
Jaji: Tafsiri ya neno ugaidi haiko wazi. Anayeweza kuwa gaidi kwako labda ni mpigani uhuru kwa mwingine
sifa kubwa ya kuwa kiongozi wa ccm ni kutokuona haibu hata kama watu wanakuzomeaNchemba ataweka wapi uso wake
Jaji: suala la ugaidi limeshika kasi lakini inavyoonyesha mazungumzo hayo hayaelewi madhara yake na mapana yake. Utalii na.uchumi utaathirika. Inaweza kuleta madhara kw nchi pasipo kuwa na ulazima wowote
Jaji anafafanua sheria ya ugaidi anaeleza madhumuni ya utungaji wa sheria hiyo na si kila tendo lahusu ugaidi
Jaji: Tafsiri ya neno ugaidi haiko wazi. Anayeweza kuwa gaidi kwako labda ni mpigani uhuru kwa mwingine
Jaji anafafanua sheria ya ugaidi anaeleza madhumuni ya utungaji wa sheria hiyo na si kila tendo lahusu ugaidi
Hivi mahakamani wanaruhusu kuvaa sare za chama?
Ni aibu kwa taifa kupandikiza ugaidi ambao haupoHili la msingi sana! Watu wanakimbilia kutuhumu ugaidi bila kujua madhara yake. Kuna rafiki yangu mmoja alisha wahi kuandika "ccm na polisi (policcm) wanavyopenda kusingizia ugaidi siku ukitokea ugadi wa kweli watashindwa kutofautisha"
Jaji: Tafsiri ya neno ugaidi haiko wazi. Anayeweza kuwa gaidi kwako labda ni mpigani uhuru kwa mwingine
Hili la msingi sana! Watu wanakimbilia kutuhumu ugaidi bila kujua madhara yake. Kuna rafiki yangu mmoja alisha wahi kuandika "ccm na polisi (policcm) wanavyopenda kusingizia ugaidi siku ukitokea ugadi wa kweli watashindwa kutofautisha"
Pamoja sana Eliza... Mwenyezi Mungu hali ugali, haki itatendeka tu.