gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
bado tunakutemea kutujulisha mambo yanavyokwenda mimi niko huku Gurment national park leo nimecha kufanya kazi ya kupiga picha kwa ajili ya kufuatilia kesi hiyo ya makamnda
Leo ndio fate ya Kamanda Kilewo na wenzake. Tunamuomba Mwenyezi Mungu Jaji afanye maamuzi ya haki kuwafutia mashtaka ya ugaidi
dada mbona mnaandika kifupi hivyo jamani sisi wengine tuna mzuka kujua what's going on.
pls andikeni maelezo vuzuri
Nina imani itafutwaMuhimu je mashkata ya Ugaidi yatafutwa?
Ugaidi Tanzania????? Yaani ni kama tunamdhihaki Mungu kwamba nasisi tunapenda nchi yetu ikumbwe na Ugaidi kwakweli
Elizabeti Dominick...Muhimu je mashkata ya Ugaidi yatafutwa?
Magesi kama huko mahakamani hapo Tabora naomba baada ya kesi umtafute mwanachama yeyeto wa CCM umuulize maoni yakeKweli mkuu