Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Status
Not open for further replies.
Jaji anasema amepitia hoja zote ambazo zimefanywa na mawakili wazomi. Anasema baada ya kupia hizo hoja anafanya kama ifatavyo
 
Jaji anasema, akianzia na ombi la kwanza, katika suala la masahihisho, ametaja vifungu ambavyo vunaipa mahakama madaraka kuu.anatoa mwongozo kuhusu maamuzi yaliyofanywa na hakim mkazi
 
Duuu joyce ame miss dushelee long time,ewe jaji tenda haki ili joyce apate haki yake ya chakula cha usiku
 
Watuhumiwa ambao ni makada wa CHADEMA wameshawasili wakiongozwa na Henry Kilewo na wenzake.mawakili wa pande zote nao wapo. Jaji ndo anasubiriwa
vita ya ukombozi inapitia mateso mengi lakini mwisho ya yote huwa ni furaha kwa watakaokuwa hai, hata sisi tunaotumia laptop kufikisha ujumbe tutegemee kusumbuliwa kabla ya 2015,lakini tusikate tamaa
 
Jaji anasema ni kweli utaratibu haukufatwa kuhusu mahakama ya hakimu mkazi kwenye ombi la kwamza. Amekubali kutupilia mbali.

ombi la pili anaongelea utaratibu wA kesi ya igunga kabla haijaletwa Tabora.kuna mambo mengi Jaji anayabainisha lakini kwa ujumla wake ni kuona kama je ni kweli kulikuwa na nia mbaya ya muwaweka rumande mda mrefu.
 
vita ya ukombozi inapitia mateso mengi lakini mwisho ya yote huwa ni furaha kwa watakaokuwa hai, hata sisi tunaotumia laptop kufikisha ujumbe tutegemee kusumbuliwa kabla ya 2015,lakini tusikate tamaa
Kweli mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom