Ingekuwa hivyo watendaji wa Serikali tusingewaona mahakamani wakishtakiwa na kesi mbali mbaliKiu Taratibu hapo Mwanasheria wa Serikali ndio ata wa Wakilisha
Sababu hayo matendo walitenda muda wa kazi
Nichek PM basi
Tatizo la kesi hii ni kuanza kuifungua kwa kutaja majina ya hao viongozi huku kulalamikia majukumu yao ya kikazi ambayo yako katika tittle zao kikazi ndiyo maana maana walikataa kusaini barua za wito.
Na mashitaka yenyewe yanahusu majukumu yao kikatiba ndiyo maana Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameenda Mahakamani.
Ngoja tusubiri tuone kesi itaendeleaje na kama Taifa tutapata faida katika hii kesi.
lets wait and see
Hata kwa kesi binafsi kweli Hapa kazi tu. Kwa hiyo mambo binafsi ukiwa kiongozi wa serikali inabidi gharama ziwe juu ya serikali ni Tanzania pekeeMakonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Wewe ni msemaji wa upande huo?
Any way,
Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache
Mfano,
Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?
Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu
Hazina faida!
Kama Hapa ni kazi Tu,
Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!
HAMTANIELEWA!
Hata kwa kesi binafsi kweli Hapa kazi tu. Kwa hiyo mambo binafsi ukiwa kiongozi wa serikali inabidi gharama ziwe juu ya serikali ni Tanzania pekee
Wengine wameridhika kutukanwa na Makonda kwenye mikutano ya hadhara wote hatukuwa sawaKukomoa watu kwa kuwa Mbowe!!
mkuu mahakama inapokuita kujibu tuhuma unatakiwa uende na sio utume mawakili,kwani anayeshtakiwa ni wakili wa serikali,ACHA mkuu,tatzio sheria Za Tanzania ni fake fake tu na masrah kwa wakubwa,hebu mtu wa kawaida puuza uone kama haujakaa sero miez sita bila dhamana,UONEVU SANA NCHI ZETU ZA AFRICA,HAKUNA HAKI,HAKI IKO KWA MWENYE PESA NA UWEZO KAMA UWEZO WAKO MDOGO BASI UJUE HAKI YAKO ITAGEUKA KUKUJERUH,WE NEED CHANGE,MIFUMO MIZIMO,ANGALIA HATA MAJESHI YETU YANAVYOKIUKA KATIBA NA SHERIA NA NGUVU KUBWA KWA RAIA WAKE,HAKUNA HAKI,WAKIKUKAMATA WANAKUFANYIA DHIHAKA NA UONEVU SANA,INAUMA SANA,TUFIKILIE MBALI WATANZANIA,HIZ MAMBO ZA USHABIK WA MTU AU CHAMA TUWEKE PEMBENI TUSIMAME SISI KWA PAMOJA,NCHI YETU INAHITAJI MABADILIKO KATIKA KATIBA NA SHERIA,SHERIA ZILE AMBAZO WAKOLONI WALIKUWA WANATUMIA KUTUBANA WAAFRICA NDIZO HIZO ASILIMIA KUBWA TUNATUMIA KUJINYANYASIA WENYEWEMakonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Makonda Naomba usiende Mahakamani
Hii ni vita
Lazima watokee watu kukupinga
Fanya Kwa kumtanguliza mwenyezi mungu mbele
Utalipwa na Mwenyeziungu
Francis12: kuchelewesha ufumbuzi wa tatizo siyo utatuzi wake.Ujumbe kwa Sirro.
Leo Mahakama imetoa Maamuzi ya muda kwamba Mbowe asikamatwe hadi Ijumaa saa saba Mchana baada ya Maombi yake kusikilizwa, kama wataamua wasimkamate mpaka kesi ya Msingi itakaposikilizwa au la.
You fake girl let me briefly enlighten you so that you stop your naïve rhetoric.Nilitegemea HAMTANIELEWA
so at least umepata kitu
THINK OUT OF CHADEMA AND CCM Tanzania!
Think about REAL LAWS!
Is this the CORRECT WAY?
HAMTANIELEWA!