Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

Makonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Jamuhuri ndo iliwatuma wafanye upumbavu sio
 
Unaweza uukafanya maamuzi ukiwa mtumishi wa serikali bila kuzingatia sheria. Ikithibitiika utashitakiwa wewe kama wewe.
Mtumishi wa namna hii atashtakiwa kwa matumuzi mabaya ya ofisi au kwa manufaa yake binafsi.
Hatashtakiwa na third party bali atashtakiwa na mwajiri wake ambaye ni serikali. Ww third part unatakiwa kuishtaki serikali kwa madhara uliyopata kutokana na maamuzi ya mtumishi huyo, then Serikali itamwajibishi mtumishi wake ikiwa kweli alitenda kinyume cha sheria.
 
Nimependa hilo swali kwq mwanasheria mkuu!
bila shaka alianza kujing'ata ng'ata
 
hela ya ruzuku ya chadema wanakula kilaini
kwa kesi. kila saa kesi ili wapige hela. mtavaa magwanda eti makamanda wenzenu wanafukuzia hela nyie kunuka jasho tu na magwanda.
Ruzuku ya chadema sio pesa ya mamako mpaka uone uchungu watu tukivaa magwanda ni pesa yetu haikuhusu
 
Kwa siye wapenda siasa mtambuka,hii kesi ni tamu sana!
Mbowe kacheza kama Pele!
Na for the first time,ma d.c na ma r.c watakuwa wamedhibitiwa,maana kuna mida wanakuwa mpaka kero!
Kama kuna kesi itakayofuatililiwa na mawaziri,watendaji na wanasiasa basi ni hii!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kama kawaida, impression inayojengwa ni kama vile Makonda na wenzake wameshtakiwa binafsi ili kujenga mvuto fulanani kwa kundi fulani. Kind of cheap politics.
Ndio wameshtakiwa binafsi coz sheria za nchi haikuwaruhusu huo upumbavu waliofanya
 
Sasa kwa nini tupoteze muda kusubiri suprise tunayoijua?

Huu muda Tanzania inatusubiri?

Au tunaichelewesha na kutumia muda wake vibaya?

Hivi mnakumbuka mahindi yamekauka?

Kwa nini tusilime viazi na mihogo muda huu?




Nauliza tu kwa nia njema!
Waulize walioanzisha,
 
Mkuu, kwanza nikupongeze kwa kuonyesha nia ya kupenda ustaarabu na hiyo ndo sifa kuu ya binadamu aliyekamilika. Bravo! However, siwezi kujikera na haina logic! ulishawahi kusikia binadamu amejikera? probably ni another wonders, never seen and never heard..! kila kitu kina mpaka wake na kila maamuzi yana limits zake pia. from chain of events...unayemtetea ameonyesha sifa za kuwa bastard and no apology for that! on other hand nimekushauri uanze kuishi...have a purpose of living..na usiishi kama mmea.! uchumi wa nchi umeanguka, inflation iko juu, cost of living ziko juu, utawala wa sheria unabakwa kila kukicha, democrasia iko i.c.u,...the list goes on and on...sasa ulitaka huyu mtawala tumuiteje?
Kujikera mwenyewe ni pale unapojisuta rohoni (moyoni) kwa maneno au matendo uliyoyafanya.

Yote uliyo yaorodhesha si tafsiri sahihi ya neno "bastard".
 
Leo Feb 21, 2017 Mahakama Kuu imeamuru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asikamatwe hadi maombi yake kutokamatwa yataposikilizwa siku ya Ijumaa.


Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni tarehe 10 mwezi huu alifungua kesi ya Kikatiba dhidi ya RC Paul Makonda, Kamanda Simon Sirro.


Aidha Mahakama imewaushauri upande wa mlalamikaji kurekebisha hati ya mashtaka kisha wairudishe tena siku ya Jumatatu.


- Siku ya jana Mawakili wa Mbowe waliweka pingamizi la kutokamatwa kwa kiongozi huyo lakini kabla taarifa hazijalifikia Jeshi la Polisi, Mbunge huyo wa Hai akatiwa nguvuni.

MBOWE.png
ef8f40e221a47be3a3ee1ff41d4f896a.jpg
 
Huyu jamaa ameligomea bunge na leo ameigomea mahakama. Sasa kuna maana gani ya utawala wa katiba. Kama muhimili wa serikali upo juu ya sheria basi ushauri wa zitto wa kufuta bunge ulikuwa sahihi

- Yaani Rais wa Mkoa wenye wananchi Millioni 8 aache kazi za kuendesha Mkoa aende mahakamani kusikiliza ujinga ujinga, are you kidding me or what?

le Mutuz
 
Sasa kwa nini tupoteze muda kusubiri suprise tunayoijua?

Huu muda Tanzania inatusubiri?

Au tunaichelewesha na kutumia muda wake vibaya?

Hivi mnakumbuka mahindi yamekauka?

Kwa nini tusilime viazi na mihogo muda huu?




Nauliza tu kwa nia njema!
Kwahiyo kama tunalima tusishike hata simu kuangalia yanayojiri!!
 
Kujikera mwenyewe ni pale unapojisuta rohoni (moyoni) kwa maneno au matendo uliyoyafanya.

Yote uliyo yaorodhesha si tafsiri sahihi ya neno "bastard".
Hahah..it's very unfortunate that i don't feel any remorse! wala moyo/roho yangu hainisuti kwa kusema hivyo. Ni kwa kuwa niko sahihi mnoo! otherwise, ningekuwa na guilty conscious!!
 
Kama kashitakiwa Rc & kamanda wa polisi
atakwenda mwanasheria wa Serikali,Vita ya unga lazima iendelee hakuna kupoteza mida hapa.
 
- Yaani Rais wa Mkoa wenye wananchi Millioni 8 aache kazi za kuendesha Mkoa aende mahakamani kusikiliza ujinga ujinga, are you kidding me or what?

le Mutuz

Le mutuz, kuwa na hekima, wito wa mahakama hauna utashi wa kuupinga, vinginevyo utawala wa sheria na kuheshimu katiba aliyopa haelewi maanayake, usimfanganye mwambie kuwa mtawala siku kukwepa kuheahimu mhimili wa mahakama
 
Back
Top Bottom