Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

Hatashtakiwa na third party bali atashtakiwa na mwajiri wake ambaye ni serikali. Ww third part unatakiwa kuishtaki serikali kwa madhara uliyopata kutokana na maamuzi ya mtumishi huyo, then Serikali itamwajibishi mtumishi wake ikiwa kweli alitenda kinyume cha sheria.
Tunasema lugha moja. Nimesema atashitakiwa.
Asante kwa ufafanuzi wa ziada.
 
Hivi kwanini Mbowe na mawakili wake Nguli hawakufungua mashtaka dhidi ya serikali toka mwanzo na sio Makonda, Sirro na Wambura maana washtakiwa siwatunga sheria wala Katiba . Ina maana wana sheria Hawa Nguli na Mbowe Mwenyewe hawakuliona hili? What was their motive kuwashtaki individuals ambao walikuwa wanatimiza wajibu wao??
Ni sawa sawa Leo nimwishtaki Jaji aliyeaamua Kesi Yangu/Kesi dhidi yangu? Itakuwa nimtendea haki huyo Jaji au nitakuwa nimeonyesha upunguani
 
Makonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
hawana kazi huyu makonda kutwa yupo clauds ndo kazi tuliyomtuma hii leo asiende mahakamani ila clauds anaweza kwenda kutete acheti ambacho hana ? ficha upumbavu wako wakiitwa wataenda mahakama inayo amri hiyo
 
Kesi hawezi kuzalisha chochote! Ndugu zako wanapofungua kesi mfululizo ulishawauliza swali hilo au ndo kunya anye kuku akinya bata anaharisha? Faida ipo kubwa sana kwani kufufua demokrasia ni kama mkuki kwa watawala hawapendi na hawataki kusikia!
 
Hivi kwanini Mbowe na mawakili wake Nguli hawakufungua mashtaka dhidi ya serikali toka mwanzo na sio Makonda, Sirro na Wambura maana washtakiwa siwatunga sheria wala Katiba . Ina maana wana sheria Hawa Nguli na Mbowe Mwenyewe hawakuliona hili? What was their motive kuwashtaki individuals ambao walikuwa wanatimiza wajibu wao??
Ni sawa sawa Leo nimwishtaki Jaji aliyeaamua Kesi Yangu/Kesi dhidi yangu? Itakuwa nimtendea haki huyo Jaji au nitakuwa nimeonyesha upunguani
Ni kweli mkuu ni upunguani wa kiwango cha juu kumshtaki jaji aliyehukumu kesi yako. Lakini ni upunguani uliopitiliza kiwango cha juu kufikiri tu kumlinganisha Makonda na jaji.
 
Makonda Naomba usiende Mahakamani
Hii ni vita
Lazima watokee watu kukupinga
Fanya Kwa kumtanguliza mwenyezi mungu mbele
Utalipwa na Mwenyeziungu
Huyo mungu labda wako peke yako, lakini mungu wa wote hawezi kuwa upande wa makonda bwana yake masogange.
 
hawana kazi huyu makonda kutwa yupo clauds ndo kazi tuliyomtuma hii leo asiende mahakamani ila clauds anaweza kwenda kutete acheti ambacho hana ? ficha upumbavu wako wakiitwa wataenda mahakama inayo amri hiyo
GSM wamempa dola milion kadhaa kwa ajili ya kupambana na kila mtu anayehoji juu ya vyeti vyake na sasa yule mtangazaji wa Tabora anavuna pesa nyingi ili amsaidie makonda kwenye kukanusha.
 
Hatashtakiwa na third party bali atashtakiwa na mwajiri wake ambaye ni serikali. Ww third part unatakiwa kuishtaki serikali kwa madhara uliyopata kutokana na maamuzi ya mtumishi huyo, then Serikali itamwajibishi mtumishi wake ikiwa kweli alitenda kinyume cha sheria.
wanasheria wa chadema wala sio chochote ni bongo lala ila kama kawaida yao wanasifiana kupindukia. wanafikiria mahakama inaweza kuchukua nafasi ya executive kutoa amri za kiutawala.
 
Huyo mungu labda wako peke yako, lakini mungu wa wote hawezi kuwa upande wa makonda bwana yake masogange.

Kweli wewe ni ushuzi na unatumia hiyo njia ya kutolea ushuzi sawa sawa kabisa....Kigwangala kashatangaza vita na jamii hiyo ya kwenu
 
Ni kweli mkuu ni upunguani wa kiwango cha juu kumshtaki jaji aliyehukumu kesi yako. Lakini ni upunguani uliopitiliza kiwango cha juu kufikiri tu kumlinganisha Makonda na jaji.
Bangi ni mbaya hasa ukitumia bila kula, Kesi ya kikatiba huwezi kumstaki Makonda bila kumweka kwanza Mwanasheria Mkuu Kama first respondent ndio maana Nguli wa sheria wamekwama so far
 
Kumbe ulishatumia bangi bila kula ndio ukagundua kwamba ni mbaya...wavuta bangi wenzako umewapa ushauri mzuri, nadhani watazingatia ushauri wako.
 
Back
Top Bottom