Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

Makonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Hiyo ni point, kiserikali ndo ipo hivyo
 
Hahahs Atakamatwa
Aishi kufuata sheria tu basi,
Akifanya vingonevyo kama alivyo zoea atakamatwa
Ukubwa wake mwisho Cdm

Na inaelekea mlidekezwa sana ,sasa huo UTEJA wa madaraka lazima ukutoke ukamweleze kabisa mungu wako Makonda
 
Wewe ni msemaji wa upande huo?

Any way,

Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache


Mfano,


Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?


Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu

Hazina faida!


Kama Hapa ni kazi Tu,

Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!


HAMTANIELEWA!

Unapoandika una maana ya kutaka ku'communicate! Ila mwisho ukasema hatutaelewa?! Sijui ndio mwezi umefika mahali pake?!
 
Mpaka


Na utanyooka tu,kiboko yenu Lissu ndiyo anayemtetea.Mjiongoze tu.Heshimuni KATIBA,acheni ushenzi wa kutumia madaraka yenu vibaya
Nchi nzima ni Lissu na TLS. Kunyooshwa tu Hamna namna. Tumieni mabavu na nguvu versus akili na busara.
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom