Hiyo ni point, kiserikali ndo ipo hivyoMakonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Hiyo ni point, kiserikali ndo ipo hivyoMakonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Hahahs Atakamatwa
Aishi kufuata sheria tu basi,
Akifanya vingonevyo kama alivyo zoea atakamatwa
Ukubwa wake mwisho Cdm
Kama namuona vile faru john anavyo fura hasira sasa hivi
Kwa lema Lisu hakwenda?
Makonda kaingiaje hapaNa inaelekea mlidekezwa sana ,sasa huo UTEJA wa madaraka lazima ukutoke ukamweleze kabisa mungu wako Makonda
Wewe ni msemaji wa upande huo?
Any way,
Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache
Mfano,
Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?
Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu
Hazina faida!
Kama Hapa ni kazi Tu,
Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!
HAMTANIELEWA!
Nichek PM basiUpo sahihi
Kama ina kidhi
Asiulize
Amli ndo nini? Hebu andika vizuri.Mahakama imetenda haki kwa siku ya leo
Haijapokea Amli kutoka juu!!
Cdm ina vituko
Hilo swali anza na MR. ZEROHaiwahusu,subirini mtueleze vyeti mlinunua kwa nani??
Nchi nzima ni Lissu na TLS. Kunyooshwa tu Hamna namna. Tumieni mabavu na nguvu versus akili na busara.Mpaka
Na utanyooka tu,kiboko yenu Lissu ndiyo anayemtetea.Mjiongoze tu.Heshimuni KATIBA,acheni ushenzi wa kutumia madaraka yenu vibaya
Kwani Vyeti ndo nini?/Haiwahusu,subirini mtueleze vyeti mlinunua kwa nani??
Umekazania vyetiHajakuuuliza wewe ,kazi yako ni kwenda kupeleka information tu kwa mungu wako Makonda,halafu umuulize vyeti alinunua kwa nani
ataruhusiwaje kwenye uchafu?Hizo siku haruhusiwi mwingine ?
SipajuiNichek PM basi
Huwezi ku handle mambo ya kiume maana inaonekana uwezo wako mwisho jikoni tu.Yana kilo ngapi?