M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
kwa kweli nchi hii kwa sasa ni vururu vururu tu. kila mtu yupo kivyakevyake. kila mtu anaonekana kupuuza sheria.. iwe watawala ima watawaliwa!
tunashuhudia uongozi (sorry, i mean utawala) unaotumia style ya matukio na matamko...
1. tamko la sukari...kila DC & RC aliitikia chorus yake
2. tamko la wafanyakazi hewa....DCs & RCs walidakia chorus
3. tamko la "njaa hakuna"....waitikiaji chorus ni wale wale
4. tamko la mihadarati....ndiyo habari ya mujini kwa sasa kwa waitikiaji chorus wote
5. nk, nk
where are our professionals and learned brothers/sisters waliomo kwenye cabinet?