Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,743
Hhahaaaa
Hhahaaaa
Uko sahihiKwa situation ya SASA DG wa TISS ana rank ndogo katkika vyeo vya jeshi la Polisi (yeye ni kamishna). Ikitokea akapewa KAZI ya Sirro..ataongezewa cheo na Kuwa IGP cheo ambacho mara nyingi anakua nacho mmoja tuu(Kwa SASA ni wawili) Mangu na Sirro ingawa Sirro ndio kiongozi wa Jeshi Kwa SASA.
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!
===
Saluti anapewa ni huyuhuyu Polepole Katibu mwenezi CCM na Cyprian Musiba?Wote hawa wanampigia salute polepole na msiba.
Ndani ya jeshi la polisi hakuna cheo cha IGP.Kwa situation ya SASA DG wa TISS ana rank ndogo katkika vyeo vya jeshi la Polisi (yeye ni kamishna). Ikitokea akapewa KAZI ya Sirro..ataongezewa cheo na Kuwa IGP cheo ambacho mara nyingi anakua nacho mmoja tuu(Kwa SASA ni wawili) Mangu na Sirro ingawa Sirro ndio kiongozi wa Jeshi Kwa SASA.
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!
===
umejibu vyemaIGP ni mkubwa kuliko Mkurugenzi wa TISS
Huyu wa TISS anaitwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama
Rejea neno Idara.....miaka ya nyuma ilikuwa idara ndani ya Jeshi la polisi
Kiutendaji huyu wa Idara anaweza kuwa na nguvu kubwa maana kazi na majukumu yao
tumia neno ushawishi,italeta maana zaidi.IGP ni mkubwa kuliko Mkurugenzi wa TISS
Huyu wa TISS anaitwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama
Rejea neno Idara.....miaka ya nyuma ilikuwa idara ndani ya Jeshi la polisi
Kiutendaji huyu wa Idara anaweza kuwa na nguvu kubwa maana kazi na majukumu yao
IGP ni mkubwa kuliko Mkurugenzi wa TISS
Huyu wa TISS anaitwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama
Rejea neno Idara.....miaka ya nyuma ilikuwa idara ndani ya Jeshi la polisi
Kiutendaji huyu wa Idara anaweza kuwa na nguvu kubwa maana kazi na majukumu yao
Mimi mwenyewe haijaniingia kumkichwa lakini dah wengi wapeMkuu unaota..
Yani Siro awe juu ya Diwani, bado haiingii akilini...
Mimi mwenyewe haijaniingia kumkichwa lakini dah wengi wape
Umeongea ukweli sikupingi, ila kuna mchangiaji mmoja amesema kuna "cheo" na "madaraka"Ukiangalia ukaaji kwa zama hizi utachemka,nakumbuka enzi mwana pendwa wa DSM kabla ya Sasa alikuwa kwenye ukaaji ni karibu zaidi ya Magu.Na yeye ni RC tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kana hujui historia ya mi busara kukaa kimya na sio kuandika UTOPOLOIGP yuko juu, miaka 20+ nyuma TISS haikuwepo isipokuwa ilikuwa ni tawi maalumu la jeshi la polisi, alivyoingia Rais Mkapa ndio hii Taasisi ikaundwa na kutolewa jeshi la polisi na kuanza kujitegemea na vilevile ikahamishiwa wizara ya utumishi na utawala bora,
Kwa hiyo mtu wa TISS anaweza kufanya kazi jeshi la polisi hususani kwenye upande wa kukusanya taarifa na kuzichambua (UPELELEZI) na vilevile mtu mwenye taaluma ya upelelezi wajeshi la polisi anaweza akafanya kazi TISS kama kutakuwa na tofauti ya kazi zao basi ni kidogo sana.
Ahsante sana hebu tueleze wewe mjuzi wa historia.Kana hujui historia ya mi busara kukaa kimya na sio kuandika UTOPOLO