Kutoka kinondoni -Biafra CCM na wembe uleule!

Kutoka kinondoni -Biafra CCM na wembe uleule!

Ni kuumia roho au kuhurumia wajinga wasiojitambua. Ni mpumbavu peke yake anayeweza kuunga mkono upumbavu unaofanywa na CCM kupitia mnada wa akina Mtulia! Hizo bilioni zinazoteketea huko Kinondoni leo zingefanya mambo mangapi? Wiki hii magazeti yametumia picha za shule watoto wanaketi chini na shule nyingine mbavu za mbwa hata watoto wamelazimika kukaa chini ya miti kuepuka kudondokewa na hilo jengo la mbavu za mbwa, halafu wajinga nyie mnashinda mitandaoni bila aibu kushangilia upumbafu huo kwa malipo ya makombo mnayorushiwa ...ovyooo kabisa nyie watu!
Ni watu wa aina tatu wanashabikia CCM.
1. Wachawi ( aliyekuwa yuko tayari mukose nyote kwa vile yeye hana muelekeo) 82%

2. Chizi (Including walevi na waliokosa razi za wazee) 10%

3. Wanaonufaika directly or indirectly 8%
 
Hiyo picha sio kinondoni biafra sisi tuliozaliwa kinondoni tunaijua kushinda wewe mshamba
 
Ccm chama cha ovyo wanalingiza taifa hasara pasipo sababu ya msingi mbunge ajiuzuru alafu bado anataka jimbo hilo hilo
Ndiyo demokrasia Kamanda. Kama vipi msingeshiriki uchaguzi huu kupinga Hicho mnachokiita matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Kama hujaja Kinondoni viwanja vya Biafra basi utakuwa umekosa mengi....Najua upande wa pili kumedoda sana tu....karibu Biafra!!
View attachment 685600
8c87138795d20b63afec243c43af17d2.jpg
 
wanachama ndio wapiga kura mkuu
Ok sawa mkuu nimezoea huku kwetu mwanachama ni mtu yoyote mwenye kuchangia chama na kadi ya chama hata kama kura yake atampigia mtu wa chama kingine.
 
Fuso ni kawaida kwenye mikutano ya CCM ulitaka wafuasi watembee kwa mguu au punda?
....Si mna hela ya kuwanunua Chadema kwa nini msijodishe mabasi? Fuso kwani wamekuwa matenga ya nyanya au gunia za mahindi?
 
Huyo jamaa mwenye midevu hapo kushoto kwa Lema anaogopa hata kuonyesha uso wake, huku Lema kajipinda anajifanya kusoma insta ya Da'Mange. Ha ha ha.
Mbowe mjanja sana sijui kajifichia wapi
 
Back
Top Bottom