Kutoka kinondoni -Biafra CCM na wembe uleule!

Huoni au unaumia roho?
Ni kuumia roho au kuhurumia wajinga wasiojitambua. Ni mpumbavu peke yake anayeweza kuunga mkono upumbavu unaofanywa na CCM kupitia mnada wa akina Mtulia! Hizo bilioni zinazoteketea huko Kinondoni leo zingefanya mambo mangapi? Wiki hii magazeti yametumia picha za shule watoto wanaketi chini na shule nyingine mbavu za mbwa hata watoto wamelazimika kukaa chini ya miti kuepuka kudondokewa na hilo jengo la mbavu za mbwa, halafu wajinga nyie mnashinda mitandaoni bila aibu kushangilia upumbafu huo kwa malipo ya makombo mnayorushiwa ...ovyooo kabisa nyie watu!
 
Demokrasia gharama....mbona sijawahi kuwasikia mkisusia ruzuku ili muwajengee shule watoto?
unafiki mbaya sana.

Na mvimbe mpasuke...CCM MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!
 
hizi picha zinapigwaje hii editing kabisa waziwazi sasa pigeni picha vizuri tuone vizuri jaman
 
058287929b03842ba45156f00742f2e2.jpg

Picha zenu hizo za kuedit cheki salum mwalimu nyomi lake, kinondoni hatutaki msaliti
 
Utofauti ni mkubwa sana hawa ni wananchi kwa akili zao kabisa wameamuwa kuja kumsikiliza Mwalimu bila kusombwa na malori wala kuhongwa buku buku kama ccm wafanyavyo.

Ukija upande wa chama cha makukuru(ccm) wao wanawahonga tishert na vibuku buku nakuwasomba na malori kama mifugo alafu yanajisifu eti yanakubalika ndio maana yamejaza nyomi.

Aibu kwa ccm.
 
Kama mna ushahidi wa watu kuhongwa nendeni Takukuru!!kwi kwi kwi....nyomi ya biafra imewachanganya sana
 
Mmejiingiza wenyewe kwenye kuminane zenu...
 
Demokrasia gharama....mbona sijawahi kuwasikia mkisusia ruzuku ili muwajengee shule watoto?
unafiki mbaya sana.

Na mvimbe mpasuke...CCM MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!
Kweli wewe ni mjinga uliyepumbazwa na makombo na hizo buku tatu tatu za mb. Hivi unaweza kulinganisha huo mnada wa akina Mtulia na ruzuku? Hovyo kabisa wewe kiumbe na wazazi wako wana hasara!
 
Kama mna ushahidi wa watu kuhongwa nendeni Takukuru!!kwi kwi kwi....nyomi ya biafra imewachanganya sana
Hiyo nyomi ya photoshop ndio unachekelea hapa. Kweli wewe hamnazo...Na hata kama ni nyomi unafikiri wananchi ni wajinga kiasi hicho? Mnahangaika kusomba watu kutoka maeneo mbalimbali ili kuhadaa umma jinga kabisa!
 
Nioneshe walipotoka basi!!kwi kwi kwi!
 
Back
Top Bottom