Hamna seraKama CCM akinunua huyu jamaa wa CUF atakuwa kufunga bao dk 90
Chama la Wala rushwa HiloHamna sera
Ha ha haaaKama naona mafuso kwa mbali vile!!!
Huko kwengine wanakula nini?Chama la Wala rushwa Hilo
Fisiem
Wala rushwa wapo chadema na kwa sasa wanatetewa na Chadema
Utakuwa kufunga ndyo nini hicho?Kama CCM akinunua huyu jamaa wa CUF atakuwa kufunga bao dk 90
Nyamaza wewe mwanamamaFuso ni kawaida kwenye mikutano ya CCM ulitaka wafuasi watembee kwa mguu au punda?
Mbona hawafungwi na CCM?Wala rushwa wapo chadema na kwa sasa wanatetewa na Chadema
Asilimia kubwa ya hapo wengi sio wapiga kura wa kinondoniKama hujaja Kinondoni viwanja vya Biafra basi utakuwa umekosa mengi....Najua upande wa pili kumedoda sana tu....karibu Biafra!!
View attachment 685600