Kanguyeyejr
Senior Member
- Jan 27, 2018
- 105
- 91
Kawaida yetu hapo kila kichwa tumekileta kwa buku5Kama naona mafuso kwa mbali vile!!!
Kawaida yetu hapo kila kichwa tumekileta kwa buku5Kama naona mafuso kwa mbali vile!!!
Mkuu hii bia ya kwenye avatar yako ndio imekulewesha hivi....!!Utakuwa kufunga ndyo nini hicho?
Au hujui hata kuandika?
Kwanza umeolewa?
Kila mwaka mnatuaminisha kuwa ni mafuso yamesomba watu lkn mwisho wa siki chali...Kama naona mafuso kwa mbali vile!!!
Fc Fusso UnitedKama hujaja Kinondoni viwanja vya Biafra basi utakuwa umekosa mengi....Najua upande wa pili kumedoda sana tu....karibu Biafra!!
View attachment 685600
Yeah,Ushindi asubuhi na mapema!
Mfulia ni Janga, atapata kura yake tuMshapigwa cha wima....
M-fulia huyoKuna mtu hata kura yake hatopipata