Kutoka kinondoni -Biafra CCM na wembe uleule!

Kutoka kinondoni -Biafra CCM na wembe uleule!

Kama hujaja Kinondoni viwanja vya Biafra basi utakuwa umekosa mengi....Najua upande wa pili kumedoda sana tu....karibu Biafra!!
View attachment 685600
Bora umikubali we mjingalao[emoji196] kwamba wembe uliowanyoa akapatikana mtulya sasa unatumika tena huohuo kuwakwangua manyoya yote
kama ulikuwa hunyowi sasa utanyolewa kavkav kama ukiogopa maumivu wahi kaloweshe upigwe kipara kimoja kinakutosha[emoji111]
 
Back
Top Bottom