Kutoka kifungoni tangu 2017

Kambi1

JF-Expert Member
Jun 2, 2017
345
300
Habarini waungwana,
Napenda kuwashukuru walionifungia tangu 2017 na kufunguliwa 2018 February kisha kufungiwa hadi leo kuweza kuandika chochote hapa jukwaani.

Kiukweli nilishi km nipo nyikani japo nilikuwa nacheka na kupata ushauri wenu bila hata kupata nafasi ya kuchagia chochote.

Kiujumla siwezi kulala bila kutembelea kukwani na nionapo amka kupitia baadhi ya mabandiko.

Hawa watu nikuwa nacheka hata bila kusoma walicho andika mkuu Mshana Jr, Bujibuji, demis, Gudume mzee wa familia ya Usalama wa taifa.(Pascal mayala) miss Natafuta.

Kiujumla nilikumbuka mengi jukwaani
 
Karibu.

Yaliyopo mezani.

1. Yule mchumba wako wa humu alishakwatuliwa na wahuni

2. Praise team wengi wamebadilisha Id zao.

3. Kuna warembo wapya wana run jukwaa la MMU

4. Ukipata manzi mpya hakikisha unamkagua marinda.

5. la mwisho lakini sio least Waheshimu wote utakaokutana nao
 
Vitua ambavyo nilikuwa navikumbuka km hivi
 
Habarini waungwana,
Napenda kuwashukuru walionifungia tangu 2017 na kufunguliwa 2018 February kisha kufungiwa hadi leo kuweza kuandika chochote hapa jukwaani.

Kiukweli nilishi km nipo nyikani japo nilikuwa nacheka na kupata ushauri wenu bila hata kupata nafasi ya kuchagia chochote.

Kiujumla siwezi kulala bila kutembelea kukwani na nionapo amka kupitia baadhi ya mabandiko.

Hawa watu nikuwa nacheka hata bila kusoma walicho andika mkuu Mshana Jr, Bujibuji, demis, Gudume mzee wa familia ya Usalama wa taifa.(Pascal mayala) miss Natafuta.

Kiujumla nilikumbuka mengi jukwaani
Shukrani kwa kukupa furaha na pole sana kwa vifungo virefu.... Unaweza kuvunja rekodi ya kahtaan
 
Unaweza kutupia tena kisa kilichokupa hiyo bani ya muda mrefu hivo, kwa ukumbusho wa maktaba
 
Back
Top Bottom