KUTOKA KIFUNGONI TANGU 2017

Kambi1

JF-Expert Member
Jun 2, 2017
345
300
Habarini waungwana,
Napenda kuwashukuru walionifungia tangu 2017 na kufunguliwa 2018 February kisha kufungiwa hadi leo kuweza kuandika chochote hapa jukwaani.

Kiukweli nilishi km nipo nyikani japo nilikuwa nacheka na kupata ushauri wenu bila hata kupata nafasi ya kuchagia chochote.

Kiujumla siwezi kulala bila kutembelea kukwani na nionapo amka kupitia baadhi ya mabandiko.

Hawa watu nikuwa nacheka hata bila kusoma walicho andika mkuu Mshana Jr, Bujibuji, demis, Gudume mzee wa familia ya Usalama wa taifa.(Pascal mayala) miss Natafuta.

Kiujumla nilikumbuka mengi jukwaani
 
nikajua kifungo cha kweli utoe experience kumbe unaongelea ban.

uwe makini Ukifanya uzembe tena ntawashauri mods wakupe ban ya miaka sita.
 
Daaahhhj, wana JF tunajua kukaushia nyuzi za watu..

Masaa 5 yamepita hamna aliyekomenti hata mmoja
Aliowataja ndio tulikuwa tunasubiri wakomenti, nashangaa kwa nini hajawaPM tu, Mods ban huyu naona ana hangover bado
 
Back
Top Bottom