Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

vipi na halima mdee kakomaa kama dume na fununu kuwa kaoa jike!

Huna hakika na usemacho km wenzio..walipoguswa wao kila mtu aliwaona .......


By the way hata kama anafanya hivyo ....ni maisha binafsi ambayo hayaonyeshi hadharani wala kumlazimisha mtu.Hilo ni tatizo ambalo kama ni kweli jamii inaweza lirekebisha.Ila issue ya waliberali ni tofauti wao wanatetea "...tabia.." na si "..Mtu aliyeathirika kwa hizo tabia" ktk kupat ahaki anazostahili.

kwa waliberali hiyo TABIA NI HALALI na wanaisimamia.kama sera ya chama/ama dini ya chama.Si ajabu sasa hivi ni lazima kuleberali....nadhani umepata uelewa.
 
Mkuu si kweli watoto wa kiznji wengi au kama wnyw wasemavyo majoritee, mimi nilikutana na mtoo ana damu ya kiaraabu aksam warahiii mimi sikujua kumbe wabara ni mwa moto namna hiiiii

NI PESTIGE ZANZIBAR KUOLEWA au kuwa na bwana mbara trust me.

Mkuu kweli wewe ni MLUGA --- unaandika sielewi chochote LOL... nakunukuu "wasemavyo majoritee, mimi milikutana na mtoo ana damu ya kiarabu aksam warahii mimi sikujua kumbe wabara ni mwa moto namna hiiii"
 
wamezindulia kibanda cha maiti?si bora wangezindulia clinic angalau wazaliwe upya....kweli zanzibar inageuka kuwa hospital ya vichaa.Maalim alitaka fanya mapinduzi leo..si angeenda angalau pemba.
 
Kwa miaka mingi sasa wabunge wote wanatoka Mtwara na Lindi hulalamikia juu ya kubaguliwa na kutokupewa haki zao na hawajawahi kusikilizwa. Sasa huna gesi wameamua kutolea kilio chao hapo serikali inajifanya haielewi wanalilia ni ni. DANGOTE SIO SERIKALI NA HANA WAJIBU WAKUWATUMIKIA WATU WA MTWARA NA LINDI KWA HIYO ASITUMIWE KUWAPUMBAZA WANA MTWARA NA LINDI. SERIKALI INAPASWA KUWAJIBIKA KAMA SERIKALI NA SIO WANYONYAJI KUTOKA UGHAIBUNI. MGODI WA TULAWAKA UNAFUNGWA WANABIHARAMULO WAMEPATA NINI? KATIKA HALI HII KILIO CHA WAZANZIBAR KINABAKI KUWA KILIO CHA SAMAKI, MACHOZI YAMENDA NA MAJI.

Sijui serikali inasita nini kuwasikiliza hawa watu!Tumeshachoshwa na kelele zao wangepewa tu nchi yao!Kwanza Bara tutajiongezea mapato kwa makusanyo ya Kodi Kariakoo,Ilala na Tandika toka kwenye maduka ya wawekezaji toka Zanzibar maana tutawahesabu kama raia wa kigeni kama wachina na wahindi na hivyo watatulipa zaidi. Huu Muungano uvunjwe tu sasa tumechoka!!!!
 
Nyie Wazanzibar mkomeeee....tena mkome Mara mia.

Aseee, mnatu jwesa tu.....Kama Muungano hamuutaki si mpige kura ya kujitoa au muje na maadhimio yenu, ninyi kila siku kutoa singo tu....tena nasema mkomeeee.....na Uliberali wenu huko huko.
wewew zenj bwana yako.. tunabubruza huko milioni 45 nyinyi.. tunawapangia kila kitu...mnakula majob sisi tunatafuna watu wa kizanzibari... ma mwinyi tumekaa zenj nji trekta mnapiga job mnaletwa kwamabwana wa kizenj.. tuliwamiliki na mkilteta habari sizo tunaendelea kuburuza........
 
Seif ni mhaini na amevunja katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea. Anapaswa kukamatwa mara moja na kufikishwa mahakani bila kusita. Wachochezi hawa ndio wanaoleta shida na matatizo nchini mwetu. Huu ni ukabila ni udini na ni kutugawa watz.
wewe kaka usharejea kupima akili yako..
inaonyesha una kichaaaaa wewewe.....unaishi karne gani,...........
 
Hivi Zanzibar ni Jina la Visiwa vyote viwili? Msaada tafadhali... Kwenye Ramani haionyeshi - nitafurahi ukinipa hilo JIBU

Zanzibar aka zenjibar ni mkusanyiko wa visiwa vya unguja na pemba. Whats wrong?
 
Zanzibar aka zenjibar ni mkusanyiko wa visiwa vya unguja na pemba. Whats wrong?

Asante... kwahiyo kuna ramani sio sahihi

Anglo-Zanzibar_war_map.gif
 
Je rasimu ya Warioba kukidhi the 10 point wish list that Maalim eloquently put forward pale Kibanda Maiti? Jibu Jumatatu. Watch this space.
 
Hatimae Bara unakaribia kupata pato jipya kwa kuwalipisha viza na vibali vya kuishi na kufanya kazi Bara huku tukiwauzia Umeme na chakula Kama Nchi Jilani kwani wazenji sasa wamelewa sifa na kujisahau Kuwa Bara ni Tajiri sana hata wakijitenga Bara haitayumba sana sana itakuwa tajiri zaidi kwani mgao wa zenji utabaki na kujiendeleza kiuchumi
 
vyombo vya habari vya bara bhana, wamekaa kimya hawataki kuripoti hili tukio kama vile zanzibar hakuna kilichotokea.

lkn yakitokea maafa hawachelewi. kwa nn ndugu zetu wa damu mnapenda kuripoti mabaya tu ya ndugu zenu wa damu ?
 
Back
Top Bottom