Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

Hii ya leo kali. Sidhani kama ktk utawala wa Nyerere, Mwinyi na hat Mkapa mkutano kama huu Zanzibar ungeliruhusiwa kufanyika. It's a silent revolution accorded by the current regime. Hii ndoa ya kaf na magamba kuna mengi. Hnnn...my own eyes, haswa kwa wale waasisi wa muhungano. Utawala huu, kwa ndoa hii, kwa mashinikizo ya serikali tatu,....muhungano utadumu kweli? JK ataiheshimu katiba JMT?

Tutaona mengi before 2015
 
Tanganyika bila ya muungano inawezekana.
 
Kujitawala lazima

JK akiendelea na ulegelege atasababisha kuvunjika kwa muungano na atakuwa ameshindwa kuilinda katiba ya nchi. Hiyo ndoa na maliberali (CUF) Zanzibar ni ya nini wakati wanataka kuvunja muungano. Maalim Seif anatakiwa awekwe kizuizinim kwa uhaini kama kweli JK anania ya kulinda katiba na muungano.
 
Jamani mtoto amekuwa, anataka kujitegemea...waachwe "wajitawale"
 
Tatizo la hawa wenzetu elimu ndogo, Jk kwann anawakumbatia hawa wanaharamu?
 
Tusiwapuuze, wanaanza hivi hivi. Kesho utasikia maandamano na mauaji.

Maalim Seif is a ZERO BRAIN mbona posho hagomei.
 
Tatizo la hawa wenzetu elimu ndogo, Jk kwann anawakumbatia hawa wanaharamu?

Hivi watu wakidai chao ni wanaharamu?ndio maana mafisadi wanatamba tanganyika coz mnajihisi wanaharamu mkidai chenu.
 
Salam kwa M/Kiti Jaji Warioba na Tume yake. Wenyewe wana kauli mbiu yao inasema "Tuwachiwe tupumue"
 
the way naona hii muvu, nadhani kuna msukumo wa viongozi kwenye suala hili kwa nia ya kuwa na mamlaka. sidhani kama ni issue ya wananchi kama anavyodai maalimu. Ila watapata shida sana.hapo wategemee, nchi mbili huko visiwani , zanzibar na Pemba, hizo zitakuwa ni nchi mbili. Time will tell.
 
Naunga mkono Zanzibar kupewa nchi yao,bajeti yao tu huwa wanatuchuna bara.
 
Tanganyika kumbe ina koloni lake.
Tanganyika ni nchi

Unguja ni nchi

Pemba ni nchi

Ukerewe ni ?

Mafia ni?

Sisi wote ni Watanzania safi kabisa.
 
Sijui serikali inasita nini kuwasikiliza hawa watu!Tumeshachoshwa na kelele zao wangepewa tu nchi yao!Kwanza Bara tutajiongezea mapato kwa makusanyo ya Kodi Kariakoo,Ilala na Tandika toka kwenye maduka ya wawekezaji toka Zanzibar maana tutawahesabu kama raia wa kigeni kama wachina na wahindi na hivyo watatulipa zaidi. Huu Muungano uvunjwe tu sasa tumechoka!!!!

Kwa ni rais Kikwete hawezi kukaa nao kwenye meza ya mazungumzo wakayamaliza? Au yeye anajua kukomalie wengine wakae kwenye meza ya mazungumzo!!
 
Loh! Tuliambiwa kero (kasoro) za Muungano zilikuwa zimebaki nne tu. Sasa hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom