Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 678
kwenye sayansi jambo lolote huanza na dhana, kisha ndio inakuja ithibati. na dini ya kiislam inasema baadhi tu ya dhana ni dhambi. kutia mkazo dhana ni moja ya hatua wa kuujua ukweli
Mie nadhani wangekwenda kudai kwenye Mkaburi ya waasisi wa Muungano, sasa hapo Kibanda MAITI wanamdai nani?
Nawapa pole sana hao jamaa zangu
Hii ya leo kali. Sidhani kama ktk utawala wa Nyerere, Mwinyi na hat Mkapa mkutano kama huu Zanzibar ungeliruhusiwa kufanyika. It's a silent revolution accorded by the current regime. Hii ndoa ya kaf na magamba kuna mengi. Hnnn...my own eyes, haswa kwa wale waasisi wa muhungano. Utawala huu, kwa ndoa hii, kwa mashinikizo ya serikali tatu,....muhungano utadumu kweli? JK ataiheshimu katiba JMT?
Tutaona mengi before 2015
Twende mbele tuludi nyuma ZNZ kuna nini zaidi ya Vijikarafuu ,watalii na ndoto ya mafuta baharini?wamesahau bara bahari ni kubwa Tokea mtwara hadi Tanga na mafuta na gesi vimejaa tele bila kusahau madini mazao mbuga za wanyama na rasirimali zisizo na mfano Duniani hakika Tz Bara ni Nchi tajiri sana endapo ufisadi utachomwa moto na kuteketea kabisa .Tanganyika bila zenji inawezekana si tena itakuwa super power Kama Rusia (Urusi) ambapo wengine walijitenga lakini Rasia ipo juu kiuchumi kuliko wenzake Elimu ya form 3 imeshaingia wengi kudanganyika kirahisi wakidhani Bara Inawanyonya kumbe wao Ndio wanainyonya bara kwani bara Ina pato kubwa la taifa kuliko zenji lakini linagawanywa kwa usawa pasipo kujali zenji ni padogo sana
wewew zenj bwana yako.. tunabubruza huko milioni 45 nyinyi.. tunawapangia kila kitu...mnakula majob sisi tunatafuna watu wa kizanzibari... ma mwinyi tumekaa zenj nji trekta mnapiga job mnaletwa kwamabwana wa kizenj.. tuliwamiliki na mkilteta habari sizo tunaendelea kuburuza........
Kwani Serikali inatumia njia gani mkuu kumaliza kero za muungano? Usiniambie kuwa hujui kuwa kuna hadi waziri anayeshughulikia kero za muungano kwenye serikali ya JMT!
vipi na halima mdee kakomaa kama dume na fununu kuwa kaoa jike!
Kwame Nkuruma same storyyeah, yaliyomkuta Obote toka kwa Idd Amin
znawakera wazenjiMimi na hata watanzania walio wengi hawajui kama kuna waziri ambaye anakula mshahara kwa kushughulikia tu kero za muungano!!! KERO! KERO! KERO! Hivi hizi kero za muungano zinamkera nani hasa??
"Ukome ukome tena ukome mara mia" mbunge wa CUF alipokuwa anamtukana Wenje.
Mwanaume gani anaongea kama shoga.