Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

sasa hapo walikaa na wananchi ili iweje mi nadhani ilikuwa bora haya yote yaongelewe kwenye vikao halali
 
hapo umeongea mkuu.mfano nzur refer to old east africa community and the newly one
hakuna haja ya gonjera na makelele ya kila siku kuhusu muungano, ambao binafsi naona uko kipropaganda zaid,
 
Kwa ni rais Kikwete hawezi kukaa nao kwenye meza ya mazungumzo wakayamaliza? Au yeye anajua kukomalie wengine wakae kwenye meza ya mazungumzo!!


Kwani Serikali inatumia njia gani mkuu kumaliza kero za muungano? Usiniambie kuwa hujui kuwa kuna hadi waziri anayeshughulikia kero za muungano kwenye serikali ya JMT!
 
Maalim Seif what a hopeless old and lost Politician! Ana zunguka na Agenda za mipasho nia ya CUF na MAalim Seif ni kuvunja Muungano,Aseme tu Muungano Uvunjike sio kuja na taarabu za kijinga!
Maalim anajua wazi kuwa Muunano ndio unamharibia madili yake ya kuinganisha Zanzibar na Sultan wa Oman, anajua wazi kuwa Muungano ndio unamfanya aonekane hana nguvu na dhaifu, anajua wazi kuwa Muungano ndio uliomfanya aukose Urais wa Zanzibar mara zote hizo.
 
wakati WAZANZIBAR wanashuhulika na nchi yao na khatima ya utaifa wao na maslahi yao, WATANGANYIKA wanapoteza fursa hii muhimu na wamejifanya watazamaji wanaolaumu wachezaji hawachezi vizuri . mahusiano ya zanzibar na katiba mpya ni mambo ya muungano tu , sababu mambo mengine wana katiba yao na washarekebisha.. nilichobaki ni kusimamia maslahi yao ktk mahusiano yao na tanganyika basi HAKuna zaidi. jumatatu ijayo itakuwa siku ya kihistoria kwa zanzibar na wake up call kwa watanganyika wasio na serekali wala katiba yao .masikini watanganyika ZANZIBAR imekuwa driving force kwa siasa ya tanzania kwa sababu watanganyika wamefunikwa wako usingizini hata kudai haki zao wanaona ni UHAI.... JAJI WARIOBA IAMSHE TANGANYIKA KUTOKA ILIWEKWA NA NYERERE MSUKULE UNAFUFUKA
 
Wanzibari wasiyetaka maamlaka kamili will they please standup? I like that!
 
Hiyo kodi kariakoo sio issue kwani wazenji wapo bara tu hata uk na sehemu zingine ulimwenguni kua na akili wewe

Wazenji waliopo sehemu zingine duniani ni wachache sana kulingana na Wazenji waliopo hapa Bara na hakika ZNZ ikijitenga kodi na vibali vya kuishi Tanganyika ni pato jipya litakaloinufaisha Bara kiuchumi vinginevyo tutashuhudia wimbi la watu kubadili urai kwa kuukana uzanzibar na Kuwa Raia wa Tanganyika
 
Muungano kama koti

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Sisi Wengi Wabara hatuutaki huo Muungano; Wengi wao ni ZPPP hawaipendi NGOZI nyeusi... let them GO
 
yan kuzuiwa kujiunga na OIC ndo point kubwa wanayosimamia kuwa wanaonewa,hizo zingine ni supporting points tu,na bado haachiwi mtu hapa labda mkienda UN tunaweza kuwafikiria...na mtaendaje wakati cyo member wa UN? Tulieni jaman kazanin kuimba taarabu na kula tende £ halua...achen kulialia !
 
Na mkishindwa leo ndio mjue basi tena, Shein yuko China akiangalia maeneo ya kihistoria, JK anajimwaya Japan kuinadi nchi; nchi nyeupeeeeeeee!
umesomeka mkuu..
mambo ya miaka ya 60-80s,
rais akisafiri nchi kauza.
maalim ubavu anao sasa?
 
Hivi watu wakidai chao ni wanaharamu?ndio maana mafisadi wanatamba tanganyika coz mnajihisi wanaharamu mkidai chenu.

Kama AMANI itakuwepo why not; NCHI ni yenu na sisi vijana hatuoni sababu ya kuishikilia NCHI wengi hawapendi Muungano nayo - Wangependelea kujiunga na IOC na wanaosisitiza ni ndugu zao wanaoishi UINGEREZA ambako sio wanachama wa IOC...

Kwahiyo kama Mtaacha Ardhi zenu bara; Biashara zenu kama vile Bahressa; Timu ya Mpira; Majumba kama Rais Mwinyi na Familia yake; Wakwe kwasababu tu ya kujiunga na IOC... Wakati Inasemekana PEMBA kuna OIL na GAS; kwahiyo sababu sio hiyo tu ni zaidi ya HAYO ni PERSONAL DEEP inside... a HATE???
 
Twende mbele tuludi nyuma ZNZ kuna nini zaidi ya Vijikarafuu ,watalii na ndoto ya mafuta baharini?wamesahau bara bahari ni kubwa Tokea mtwara hadi Tanga na mafuta na gesi vimejaa tele bila kusahau madini mazao mbuga za wanyama na rasirimali zisizo na mfano Duniani hakika Tz Bara ni Nchi tajiri sana endapo ufisadi utachomwa moto na kuteketea kabisa .Tanganyika bila zenji inawezekana si tena itakuwa super power Kama Rusia (Urusi) ambapo wengine walijitenga lakini Rasia ipo juu kiuchumi kuliko wenzake Elimu ya form 3 imeshaingia wengi kudanganyika kirahisi wakidhani Bara Inawanyonya kumbe wao Ndio wanainyonya bara kwani bara Ina pato kubwa la taifa kuliko zenji lakini linagawanywa kwa usawa pasipo kujali zenji ni padogo sana
 
KUJITAWALA NI VYEMA, KULIKO KUTAWALIWA

KUJITAWALA NI UMMA, KILA YAO KUAMUWA

KUJITAWALA SI KAMA, ULANGUZI NA RUSHWA. by HAJI GORA.

ZANZIBAR IACHIWE IPUMUWEEEEE!
:embarassed2:
 

Sisi Wengi Wabara hatuutaki huo Muungano; Wengi wao ni ZPPP hawaipendi NGOZI nyeusi... let them GO
Mkuu si kweli watoto wa kizenji wengi au kama wnyewe wasemavyo majoritee, mimi nilikutana na mtoo ana damu ya kiaraabu aksema warahiii mimi sikujua kumbe wabara ni wa moto namna hiiiii

NI PESTIGE ZANZIBAR KUOLEWA au kuwa na bwana mbara trust me.
 
Back
Top Bottom