Sijui serikali inasita nini kuwasikiliza hawa watu!Tumeshachoshwa na kelele zao wangepewa tu nchi yao!Kwanza Bara tutajiongezea mapato kwa makusanyo ya Kodi Kariakoo,Ilala na Tandika toka kwenye maduka ya wawekezaji toka Zanzibar maana tutawahesabu kama raia wa kigeni kama wachina na wahindi na hivyo watatulipa zaidi. Huu Muungano uvunjwe tu sasa tumechoka!!!!
Mpaka sasa hawajamsimika Rais mpya? Bendera za Muungano hazipo kiwanjani?
Hao ni waoga wakajifunze Juba south sudan.
...nakumbuka hili jina la al mazruhi kwenye siasa za kenya wakati wa utawala wa moi...wakati akimtuhumu profesa ali mazruhi kuna hana lolote zaidi ya kutaka kuanzisha usultan wa jamii ya al mazrui katika pwani ya kenya..!.....waafrika na tuwe macho...!Wazanzibari wanadai mamlaka kamili ya nchi yaoMazruiMediaLive on USTREAM: We are broadcasting live from MazruiMedia Studio!. Local News
Mungu awasaidie wapate Nchi yao. Naona hapa wanawake wa kipemba walipo bara wanasubiri nchi yao ya ahadi. Hawataki kuolewa na wabara eti wanasubiri kurudi kwao waolewe na wapemba wenzao. utafikiri wapo ukimbizini. Nawatakia kila la heri. mia
Tokea mlikuwa mnawauwa waz'br mpaka sasa mnabaki kuwatukana hoja hamna tena,muflis.
Sijui serikali inasita nini kuwasikiliza hawa watu!Tumeshachoshwa na kelele zao wangepewa tu nchi yao!Kwanza Bara tutajiongezea mapato kwa makusanyo ya Kodi Kariakoo,Ilala na Tandika toka kwenye maduka ya wawekezaji toka Zanzibar maana tutawahesabu kama raia wa kigeni kama wachina na wahindi na hivyo watatulipa zaidi. Huu Muungano uvunjwe tu sasa tumechoka!!!!
Umeanzalini kuwashauri watu juu ya Ushirikina ? Since when makaburi yakadaiwa..... Umechanganyikiwa ?
Hata wakisimama katikati ya Bahari na kudai Uhuru wao wewe kinakuuma nini ?
Isiyoowasha hujailambaa.... Waacheni wapumue na nchi yao !
wewe unamatatizo ya kufikiri.
Unataka kusema haikukeri kila siku kusikia malalamiko ya kutaka uhuru zaidi katika Muungano wakati wanaofaidi ni wao na hawaoni. Mwisho wake siyo mzuri.
Wazanzibari wamejaa bara, wamewekeza simchezo na hakuna anayewadhuru LAKINI wewe ukaenda Zenji utaona na hata inawezikana watakuondoa.
Kazi ya muungano ni nini ? nianzishe kuwanufaisha wazanzibar au nini hasa waache waende zao.
Sioni faida hasa kwa sisi wa bara.
Hivi ni nini hasa tunachowabembelezea ? Hivi wanapumua au wanaonyesha jinsi wasivyojua ? Tukianza sisi wa bara wao ndiyo watakaopata hasara.
Mpaka sasa hawajamsimika Rais mpya? Bendera za Muungano hazipo kiwanjani?
Hao ni waoga wakajifunze Juba south sudan.