Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

Mkuu usiwalaumu hao wanaagizwa tu kwa kweli haingii akilini kwa kitu kama hicho.
 
Kwani siku zote watu wanapotembea kwa miguu huwa wanalindwa na polisi? Wanalindwa dhidi ya nini? Au sielewi?
 
NDANI YA GWANDA MIMI NA MY WIFE WATOTO TUNAWAACHA HOME,KWANZA TUNAPITIA KWA MANGI KITIMOTO KIDOGO NA MASANGA THEN JANGWANI KAMA KAZI,MKIONA MTU YUKO NA MKEWE BENE BENE GWANDA MPYA NDIO MIMI NITAWEKA PICHA KESHO SITAKI SHOBO JANGWANI

WANAMAPINDUZI WOTE TWENDENI JANWANI ,UHURU WETU NDIO UKO NJIANIi
 
Mkuu usiwalaumu hao wanaagizwa tu kwa kweli haingii akilini kwa kitu kama hicho.

Ni kweli mkuu,lakini hivi kweli hawa Polisi wakiongozwa na Kova ina maana akili zao ziko likizo?hawawezi kuzitumia?!!!!!
mpaka wanaelekezwa kufanya vitu vitakavyowafanya waonekane mataahira mbele ya watanzania?
 
Niko nchi ya Uzaramoni kijiji cha Kazimzumbwi, ndugu amini usiamini vijiji vyote vimepambwa kwa bendera za CHADEMA. Usafiri leo ni wa shida kweli kweli, boda boda za kwenda Kisarawe zinapakia hadi watu wanne, nina imani nitapata usafiri wa kunifikisha Jangwani Dsm.
 
Kwani siku zote watu wanapotembea kwa miguu huwa wanalindwa na polisi? Wanalindwa dhidi ya nini? Au sielewi?

Mkuu ndiyo sababu Kova aliyoitoa kuwa hawana Polisi wa kutosha kulinda watu wote watakaokuwa wanakuja
kwa makundi kuelekea jangwani.siju anamaanisha kila mtu atembee peke yake leo!!!!!
 
Ni kweli mkuu,lakini hivi kweli hawa Polisi wakiongozwa na Kova ina maana akili zao ziko likizo?hawawezi kuzitumia?!!!!!
mpaka wanaelekezwa kufanya vitu vitakavyowafanya waonekane mataahira mbele ya watanzania?

kova hata form four hakufika....msamehe bure. tools of analysisi kichwani mwake ni sifuri
 
REMSA,
You are wrong.
The Police Force failed miserably to manage people and the protocals at Kanumba's burial ceremony. The fact is justified by the cases of people who fainted not bcoz they felt Kanumba deeply but due to improper management of the masses at burying. Eventually, the want of the multitudes to throw the goodbye sand to the fresh tomb was not met.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom