ONA NA MANENO YA CHILIGATI, ANASEMA JAMBO HILO HALIKUFANYIKA KWA SIRI KWANI KUNAWABUNGE WAWILI WALIONA
...Hawa waliona kila kitu
2008-06-16 18:12:54
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Wakati sakata la ushirikiana lililotinga bungeni likiendelea kuvuma, kuna habari kuwa wabunge wawili wanadaiwa kushuhudia `live` tukio hilo ambalo limekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari.
Kwa mujibu wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kapteni John Chiligati, ni kwamba walioshuhudia tukio hilo ni Mbunge wa Longido (CCM), Mhe. Lekule Laizer na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Anna Abdallah.
Kapten Chiligati amenukuliwa na vyombo vya habari leo asubuhi kuwa waheshimiwa Anna Abdallah na Lekule Leizer, walikuwepo na hawakuona kitu kinachohusishwa na imani ya ushirikina kikifanyika ndani ya Bunge.
Amekaririwa akitoa ufafanuzi huo wakati akizungumza na waandishi kuhusiana na yale yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na kuulizwa swali linalohusiana na sakata hilo.
Akasema wabunge hao, walisema mbunge mmoja alikuwa ameongozana na ofisa wa Bunge kwa ajili ya kuonyeshwa kiti cha kukaa.
Akaeleza zaidi Kapteni Chiligati kuwa mbunge huyo aliyeonekana akizunguka kwenye viti amefanya hivyo kwa sababu awali alikuwa akikaa kiti cha mbele.
Hata hivyo, Kapteni Chiligati amekaririwa akisema kuwa tukio hilo hivi sasa linachunguzwa zaidi na vyombo vya dola.
``Tukio la mtu kunyunyuzia vitu ndani ya Bunge linachuzungumzwa...bado linachunguzwa, Spika (Samuel Sitta) alitoa taarifa. Hivyo tunasubiri matokeo ya uchunguzi ,`` akasema Chiligati.
* SOURCE: Alasiri
na hili litamalizika hivi hivi kama masihara. tutaambiwa alikuwa anatafuta kiti, na habari imeisha. tanzania hasa naipenda!
Mkuu
Mtu wameisha sema ana maskadi unafikiri hapo kuna wa kumsogelea? nafikiri si ajabu ukasikia hata waheshimiwa wanaokaa karibu naye wakiomba kubadilishiwa viti.
Huyu mtu si wa kutengwa ni wa kukamatwa!Hii itakuwa safi sanaaaaaaaaaaaaaa kama ikitokea akatengwa namna hiyo
Wazee wa dataz wako wapi? watuletee za jikoni kuhusu uchunguzi?
Wakati Munajadili haya mkumbuke... huyu mtuhumiwa ni mtanzania mwenzetu,,, mwenye haki ya kusikilizwa, kutendewa haki!!! sasa mambo tusioyajua tunapolazimisha as if tulikuwepo huko sio sawa hata kidogo!!!
Kuna wakati munastahili kuwa waumini wa dini kidogo!!! kwa kuwa mzee wa watu hana uwezo wa kuja hapa kwenye jukwaa!!! isiwe sababu ya kumpiga mawe kiasi hicho ebo???
Mkuu FEMS Hishma mbele kama unavyopendelea kusema!Wakuu heshima mbele, ndio kwanza tumepata the dataz lakini bado tuko kwenye kujaribu kuzi-verify, then tutazimwaga ila kwa haraka tu ni kwamba jana moto mzito uliwaka ndani ya kikao,
na kwa mara ya kwanza toka awe rais wa jamhuri, muungwana made it very clear kwa mafisadi mbele ya wajumbe wote wa kikao hicho kuwa hatawakinga tena na kwamba hakuna sheria yoyote inayowalinda wasifikishwe kwenye mkondo wa sheria kama ambavyo amekuwa akisikia sana kwenye media, narudia alisema kuwa hakuna aliye juu ya sheria, kwamba mafisadi wote watakaobainika kuwa wamevunja sheria kwa kuwa mafisadi, wajitayarishe kusimama mbele ya sheria za jamhuri, kwamba hatamtetea yoyote yule hata awe nani?
Na muungwana amekubali kama mwenyekiti, mafisadi wote kuchukuliwa hatua za kichama kama ilivyotakiwa na wabunge, lakini amehimiza wajumbe kusubiri matokeo ya kamati ya Waziri Mkuu, ile ya miezi mitatu na kwamba watakaohukumiwa na CCM, lazima wapatikane na makosa kweli.
Ahsante Wakuu, Baaadaye itakapowezekana tena, na samahani kwamba hatuwezi kutoa zote unajua ni mpaka tuzithibitishe kwanza kwa wajumbe zaidi ya wanne ndio tuzibandike ili kuheshimu ukweli wake, kama hatuamini kuwa zina ukweli basi ni kuzitupa tu kwenye garbage cane, na pia samahani sana kwa kuchukua muda mrefu kama nilivyosema jana tuko safarini!
Au ulimsindikiza mwenzetu umejuaje kama ni uchawi?give him a break.kwa hiyo akiwa mtanzania mwenzetu ndio atumie uchawi na mbinu zisizo eleweka?!hebu kwendeni na u......wenu!!
hiyo dini unayoongelea huyo unayemtetea unajua imani yake??
Utajiuliza sana ndugu yangu labda hadi malaika washuke wakuhakikishie kuwa sio uchawi!ndugu yangu baada na kabla ya kujiudhuru uwazili alikuwa anakaa kwenye kitihilo mbona lilishaisha long tym bandugu??!!nw twaaendelea na vikao vyetu vya bunge...
lakini nilikua najiuliza kwani huo uwaziri alivuliwa siku hiyo akiwanga?!!au siku zoote after kuvuliwa uwaziri alikua anakaa wapi bungeni??sina records vizuri!!hollo nadhani wewe kama sio chenge mwenyewe au kimada wake au secretary wake waweza tupa data zaidi kwa hilo
Utajiuliza sana ndugu yangu labda hadi malaika washuke wakuhakikishie kuwa sio uchawi!ndugu yangu baada na kabla ya kujiudhuru uwazili alikuwa anakaa kwenye kiti
Hivi wewe ndo mwendesha mashtaka,judge na mlinzi wa gereza?Chenge kaonekana anahusika na ufisadi gani?jamani subiri uchunguzi wa SFO na sio kutoa hukumu hapa!Kabla ya kujiuzuru uwaziri aliopewa kwa mara nyingine tena na Kikwete mara baada ya kuonekana kuwa anahusika na Ufisadi kwa karibu kama ilivyo kwa Kikwete mwenyewe.
Kwasasa KIKWETE NA YEYE NI FISADI Hivyo tunaomba uache kuzungusha maneno kwasababu ni yeye aliyemkatalia Lowassa kuwa Richmond ni mkataba mbovu na ndiye yeye mwenyewe aliyemrudisha Chenge madarakani ili aendelee kuwaroga ama kuwaua wenzake!
...Wawe wachawi ama la hilo ni propaganda za kisimba na Yanga!
Issue hapa ni HAKI IMEPINDWA DOGGY STYLE NA KUBAKWA!
Tunataka ku restore dignity, and justice to the people!Huu ni wakaki wa kuizika CCM na wakati wao wakiendelea kujadili kama uchawi na umafia bado unawafaa...Sisi tuendelee kujadili ni kivipi tutawakamata na kuanza upya!
Hivi wewe ndo mwendesha mashtaka,judge na mlinzi wa gereza?Chenge kaonekana anahusika na ufisadi gani?jamani subiri uchunguzi wa SFO na sio kutoa hukumu hapa!
Chenge kamroga nani?kamuua nani?Jamani hata biblia inasema msihukumu!
Haya maneno mnayosema mtalipa gharama yake!