hivi huyu unaweza sema sio responsible parent kweli
samantha cameron at beach.
Kila kitu kina mahala pake na muda wake, anapokuwa mzazi atakuwa anafanya yanoyo husu malezi; na atakapo kuwa na muda wake she entitled for her Faiza time to express herself nguo anazo vaa mida ya usiku zina husiana vipi na malezi ya mtoto tena sehemu za watu wazima.
Ukute kuna watu awajui daftari la mtoto linafananaje wao tuition tu, mtu anayepiga picha kila mara na mtoto wake mwenye furaha na katika mazingira ya malezi bure nguo anazovaa katika muda na sehemu za utu uzima zina ingiliana vipi na ulezi.
Yaani utoe laki tano kila mwezi kwa ajili ya mtoto wa miaka 2, mtu bado hatosheki. Huyo mtoto anakula tanzanite? Anataka umlipie na kodi ya nyumba, nyumba ya kulala na wapenzi wake wapya anapokuwa ametoka kumbi za starehe anakokesha kama Popo. Wakati huohuo yuko bize kufanya mambo ya aibu ambayo yanawafanya wote muonekane hamna maana ijapokuwa mmeachana.
Kuepuka bughudha, Sugu anaweza kwenda ustawi wa jamii. Huko watakubaliana kuhusiana na pesa ya matunzo ya mtoto kwa mwezi na huo ndo utakuwa mwisho wa Faiza kudai hela zaidi kila anapojisikia. Tena kwa yeye, kiasi anachotoa mpaka sasa ni kikubwa kiliko kima cha chini cha mshahara wa serikali, so aende tu akaahidi kuendelea kutoa kiasi hicho hicho. Hatasumbuliwa tena na huyu 'freeloader'!
Kwa upande wa Faiza, huu ndo msimu wa mavuno. Bila shaka CCM watakufuata, watakutumia kwenye kampeni na hata kukusaidia kuchapisha kitabu chako ambacho umeahidi kitatoka karibuni na kwamba utaanika kilakitu. Ni kweli, ukianika kila kitu utamuaibisha sana Sugu. Lakini, kuaibika kwa Sugu haina maana kuwa lazima atashindwa kwenye uchaguzi. Na hata akishindwa na kuvuliwa ubunge, huo utakuwa ni mwisho wa hizo laki tano unazopewa. Kitabu chako kitakuwa tayari kimeshadoda sokoni na CCM wakakukimbia maana watakuwa bize wanashangilia ushindi. CCM wana kiu sana na Jimbo la Sugu, linawauma sana, wanaona hastahili kuwapo pale. Wako radhi wakose hata majimbo matatu mapya, lakini walipate la Sugu. Sitashangaa wakigaragazwa tena na Sugu.
Ndiyo kawaida ya CCM kwakukosa hoja huwa wanakimbilia mambo binafi kama walivyofanya kwa Mrema wakati ule 1995 akigombea urais wakaenda kumtafuta Angelina aliyekuwa amezaa naye kitambo wakafikia hadi hatua ya kumfanya akae uchi nyumbani kwa Mrema. Baada ya uchaguzi alitupwa kama kondomu iliyotumika mpaka kifo chake hakuna aliyemkumbuka. 2010 walikwenda kumtafuta aliyekuwa mume wa Josephine na kumtumia ili kudai kuwa kaibiwa mkewe na Dr. Slaa na magazeti wakachapisha na kuyagawa bure kule Arusha. Baada ya uchaguzi wako kimya. Sasa na kwa ujinga mwingine wanataka kuifanya issue ya Sugu na mzazi mwenzie kuwa ni kete ya kampeni wakati hiyo imeshaamuliwa na mahakama. Itakapofika wapinzani nao wakaamua kufanya mashambulizi binafsi sijui nani atapona katika CCM. Sema tu wapinzani wanabusara wasingependa kumfukuza uchi kichaa aliyekwapua nguo wakati wao wanaoga. Usibishane na mjinga watu watashindwa kuwatofautisha. Huyo mama sasa asubiri kuvuna aibu.Yaani utoe laki tano kila mwezi kwa ajili ya mtoto wa miaka 2, mtu bado hatosheki. Huyo mtoto anakula tanzanite? Anataka umlipie na kodi ya nyumba, nyumba ya kulala na wapenzi wake wapya anapokuwa ametoka kumbi za starehe anakokesha kama Popo. Wakati huohuo yuko bize kufanya mambo ya aibu ambayo yanawafanya wote muonekane hamna maana ijapokuwa mmeachana.
Kuepuka bughudha, Sugu anaweza kwenda ustawi wa jamii. Huko watakubaliana kuhusiana na pesa ya matunzo ya mtoto kwa mwezi na huo ndo utakuwa mwisho wa Faiza kudai hela zaidi kila anapojisikia. Tena kwa yeye, kiasi anachotoa mpaka sasa ni kikubwa kiliko kima cha chini cha mshahara wa serikali, so aende tu akaahidi kuendelea kutoa kiasi hicho hicho. Hatasumbuliwa tena na huyu 'freeloader'!
Kwa upande wa Faiza, huu ndo msimu wa mavuno. Bila shaka CCM watakufuata, watakutumia kwenye kampeni na hata kukusaidia kuchapisha kitabu chako ambacho umeahidi kitatoka karibuni na kwamba utaanika kilakitu. Ni kweli, ukianika kila kitu utamuaibisha sana Sugu. Lakini, kuaibika kwa Sugu haina maana kuwa lazima atashindwa kwenye uchaguzi. Na hata akishindwa na kuvuliwa ubunge, huo utakuwa ni mwisho wa hizo laki tano unazopewa. Kitabu chako kitakuwa tayari kimeshadoda sokoni na CCM wakakukimbia maana watakuwa bize wanashangilia ushindi. CCM wana kiu sana na Jimbo la Sugu, linawauma sana, wanaona hastahili kuwapo pale. Wako radhi wakose hata majimbo matatu mapya, lakini walipate la Sugu. Sitashangaa wakigaragazwa tena na Sugu.
Naji aibisha kivipi ujawahi kwenda ata sehemu yenye swimming pool ukaona watu wanavyo vyaa? Kwa taarifa tu ukifika umemvalisha binti yako gauni hakuna guard atakae mwacha aogelee linaweza mfunika akiingia majini na kumpotezea maisha.unajiaibisha futa post yako mtanzania mwenzangu
Bila hilo wigi anakuwaje?
Halafu ilidaiwa eti Sugu hatoi hela za matunzo na hajui hata mwanae anasoma wapi.
Mbona sasa yeye kasema anamlipia mwanae shilingi milioni tatu za ada.
Hao waliodai hajui hata mwanae anasoma shule gani wana lipi la kusema kuhusu hilo?
Wanaweza kuthibitisha kuwa kweli Sugu hamtunzi mwanae?
Kwa majibu haya yaliyojaa busara na ukomavu wa hali ya juu yatamfanya Martha Mlata ajione mjinga sana katika kundi la wajinga.Inauma sana!
Mkuu unajua kuna kimdada kimoja kinaitwa Mange sijui kilisaidiwa na jamaa mmoja hivi anaitwa ally khanah, mtu mzima na mindevu kebwe kebwe kidevuni kushabikia umbea wa midada iliyokimbia nchi na kukimbilia huko nje kwasababu ya umbea na uchonganishi uliotukuka..!!!
Ngoja niwaite Ma-celebrity waje waone Kimambi alivyoaibika hapa..!! cute b Ms.Lincoln atoto warumi geniveros Evelyn Salt nifah Dinazerd Avemaria Diva Beyonce kimberly na wengine.. njooni muone yule mnafki alivyoumbuka hapa..!!!
BACK TANGANYIKA
Aisee kumbukumbu nzuri sana hii.Angelina Mrema ..mzazi mwenzake na Augustine Mrema wa 95 ..alitumiwa na ccm Hadi kwenda kuvua nguo nje ya nyumba yake Masaki kwa Madai ya kutelekezwa na Mrema wakati Mzee wa Watu alikuwa anamsomesha mtoto International School ....
Ccm walimtumia sana Yule mama ...lakini baadaye wakamtelekeza ....na Laana ya kutumika na kumtumia mtoto Kama Njia ya kumuadhiri mzazi mwenzako Tena aliyeshea naye damu ..kupata Kiumbe ...
Anjelina Mrema alikufa Kifo cha Aibu ...hakua na makazi maalum zaidi ya kutanga tanga nyumba za wageni ..ccm waliomtuma wakamtekeleza ....akafa kwa Aibu kwenye guest house moja maeneo ya Mbezi Salasala
Wanawake wawe wanajifunza ....na ujuwe hata ukivumilia mwisho wa Siku mtoto ni wenu
Baada ya jana Martha Mlata kumtuhumu Sugu kumpora mtoto toka kwa mama yake amemuomba Spika kutoa maelezo binafsi. Kwanza anakiri mtoto ni wake, na anasema watu wazima hawzungumzii mambo ya ndoa za wenzake na anasema ni mambo binafsi.
Anasema binti yake ameishi Dar tangu mwaka 2012 na amekuwa akilipa laki tano kila mwezi na mi 3 kwa mwaka kama karo.
Anasema mzazi mwenzake amekuwa akivaa nusu uchi na kuacha sehemu za siri nje.
Anasema Mlata anayejiita mlokole hawezi kutetea maovu kama hayo, na yeye hasemi kwa nini ndoa yake ilivunjika .
Anasema kile kinachodaiwa kuwa kumpora mtoto ni hukumu ya mahakama na Mlata hakuwa shaidi wala hana uhakika kama hata mtoto mwenyewe anamjua.
Anasema kwa kuwa ni mambo ni ya faragha hata Mlata asingetaka mambo yake na mabwana zake wa sasa yajulikane.
Anasema hata mtoto hajamchukua na ameacha maswala ya kifamilia yachukue mkondo wake.
Ndugai anasema suala hili liachwe maana linaweza kumuathiri kisaikolojia hata shule.
Anawataka waandishi wa habari kuliacha suala hili. Sugu anatokwa na machozi kwa uchungu.
Bonye HAPA Kumsikiliza Mh. Joseph Mbilinyi
Sugu alimpenda sababu ya huo u changudoa wake. Kama ya Kapuya na kale kabint katapeli yalijadiliwa bungeni kwa nini isiwe ya Sugu. Ukiwa kiongozi jifunze kujijeshimu. Sugu amejistukia baada ya kuandamwa humu jf baada ya like tamasha la 'All in White' lakini tabia ya huyu bint ndiyo ilikuwa kivutio chake. Ile Picha ya Kitonga akitoka Mbeya alimpiga yeye ili hali tatoo za makalioni zipo nje ndio raha yake.
Du mke wa mheshimiwa na vazi la uchi huu si utamaduni wetu watanzania tusiige kila kitu
Wanawake wa Mbeya sio kama hao wakaa uchi, ni watu wa kazi na akili zao zimekaa kama za 'mbeya city fc' wanawaza maendeleo. Sio ajabu ndio wamemshauri mbunge wao mpendwa aachane naye!