Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,643
- 18,656
kama ndiyo hizi akili za graduate wa degree kweli africa tuna safari ndefu! R.I.P Africa tutakukumbuka daima
hivi huyu unaweza sema sio responsible parent kweli
samantha cameron at beach.
Kila kitu kina mahala pake na muda wake, anapokuwa mzazi atakuwa anafanya yanoyo husu malezi; na atakapo kuwa na muda wake she entitled for her Faiza time to express herself nguo anazo vaa mida ya usiku zina husiana vipi na malezi ya mtoto tena sehemu za watu wazima.
Ukute kuna watu awajui daftari la mtoto linafananaje wao tuition tu, mtu anayepiga picha kila mara na mtoto wake mwenye furaha na katika mazingira ya malezi bora kama ajengi nae sand castles ufukweni basi anafanya nae homework; sasa nguo anazovaa katika muda na sehemu za utu uzima