johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,774
- 145,697
Huyu mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Nguli wa Siasa za Tanzania, ambaye aliporwa project yake ya Malaria No More lakini hakukata tamaa, Kijana aliyewashughulikia Mawingu bila kuingia Ofisini kwao na Mitutu ya bunduki na Mbunge pekee wa Upinzani aliyebebwa mzobemzobe na police kutolewa Ndani ya Bunge lakini ni Mbunge pekee wa Upinzani aliyepanda Gari la Rais wa JMT Shujaa Magufuli na Rais Dr Samia kuhudhuria Sherehe yake ya Birthday?
Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ni nani hasa hata Marekani, USA, Russia, China, Israel na Iran Wampe Heshima iliyotukuka?
Mapembelo vavene 😃😃
Kwenu Lucas na ChoiceVariable 😂🔥
Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ni nani hasa hata Marekani, USA, Russia, China, Israel na Iran Wampe Heshima iliyotukuka?
Mapembelo vavene 😃😃
Kwenu Lucas na ChoiceVariable 😂🔥