Jamani Wa-Tz kwa mara nyingine tena tumepatiwa Waziri wa Fedha Bomu! Mh. awajibishwe kwa kulipotosha Bunge. Tujiulize, kama Wabunge wasingekuwa makini si ingepitishwa Bajeti feki (inayoji-contardict)? Hiyo ni aibu kubwa kwa Mh. Mkullo na Rais pia.
Upuuzi wa namna hiyo haujawahi kuwasilishwa na Waziri wa Fedha yoyote kabla yake , hata yule aliyetuambia ikibid WaTz tutalishwa nyasi ili Mkuu wa Nchi apate usafiri wa kumpaisha angani.
Mh. awajibike mwenyewe au awajibishwe ili wengine wawe makini.
Naomba kuwasilisha!
Wote hawa ni MAFIOSO NDUGU ZANGU!
Kikwete alijikuta mtegoni baada ya mpango mahususi wa kuzitumia pesa za EPA kwenye kampeni yake ya USHINDI WA TSUNAMI!
Alipogundua hilo....Ikawa kama enzi UKIMWI ulipokuja ambapo watu walianza kuambukizana makusudi ili wasife wenyewe ama kutajana tena!
Kikwete kafanikiwa sana...Keshawaambukizia VIRUSI VYA UMAFIA NA UFISADI...
Sasa mnatufanya sisi PUMBAVU?
ZITTO HAKUJUA KUWA JOHNSON MWANYIKA NI MTUHUMIWA WA RICHMOND AMBAYE ALIWEKWA NA SWAHIBA WAKE DON KIKWETE KWENYE KAMATI YA MADINI YEYE PAMOJA NA MAFIOSO WENGINE?
Atawapiga vita kivipi?
Ama VIRUSI TAYARI DHIDI YA KINGA ZA FIKRA ZA KIZALENDO?
Moderators watakwambia 'mwajuana kwa vilemba.' Tatizo la 'mafioso controversy' ni kwamba hakukuwa na uthibitisho. Sasa mimi wakiniuliza 'huyu wamjua alivyo?' nitasema 'sio tu twajuana, ila yeye ndo kanifundisha ufidhuli wa kuchokoza na kuchonganisha watu.'
Kuhani Mkuu na Pundit
Wote mmeshindwa kuona mapungufu ya content mpaka sasa mmebaki mnakosoa style. Ni ishara kwamba Dr Slaa amejenga hoja nzuri. Kumbuka hii hotuba ameitoa papo kwa papo, hakuwa anasoma hotuba iliyoandikwa kama anavyofanya Kikwete, Mama Kikwete na wenzake. Sasa hao wengine waandikiwa na bado hawana content wala stlye.
Asha
Umethibitisha mwenyewe kuwa hujasoma na kuelewa! Lengo la kujieleza ni kueleweka. Kama wenzako wengi humu wanasema wamemuelewa Dr Slaa mchango wake, wewe ni nani hata useme kwamba ameshindwa kujieleza? Sio ameshindwa kujieleza, wewe umeshindwa kumwelewa
Asha
Kikwete Aliambukizwa Virusi Vya Ufisadi Na Umafia Na Yeye Kavi Spread...dawa Ni Kuchoma Wote Moto!
Wakuu wa JF kidogo sikuelewa nadhani sababu sikuanza mwanzo kuangalia Bunge jana lakini wakati mbunge mmoja wa CUF akichangia mada alimpongeza Spika kwa kupokea kadi tatu za uanachama wa CUF akamuomba ampe moja Chiligati na nyingine Waziri Pinda.
Kulikoni?naomba mnisaidie hapa.
Can we be serious for a minute wa ndugu? This is too much now....
Pundit, its you whom you want CCM to do that, alisema watanzania ndivyo tulivyo kuwa kila mara tunashabikia vitu bila kujua content.
Kwani kila siku watu wa watanzania huwa wanaamini kila wanaloambiwa na viongozi hata bila ya kuhoji ukweli na uhalali wake .
Ndivyo tulivyo, aliwataka watanzania kuwa critical ...they should dought everything, that was his message.
Ya, hajui kujieleza. Lakini kwa Bongo, ni creme de la creme.
We si ulinambia jamaa alikuwa lawyer wa nguvu? Sasa yeye hawezi, nani ataweza kujieleza Bongo?
Ndo tatizo la wabongo sijui ni wivu au nini angalia jamaa anavyo jishanganya anasema jamaa ana point lakini hawezi kujieleza...hivi inaingia akilini?Mtu unaweza ukawa unapoint lakini ukashindwa kujieleza?lakini mbona jamaa anaeleweka sana kuliko hao wanao jieleza blablaa kibao point huoni au ndo hao jamaa anao wataka?
hii biashara ya number plate ni source kubwa sana ya ufisadi. kuna mama nasikia anaitwa masasi walimpa hii tenda nchi nzima, amechemsha na baadaye wakatangaza kuwa wao TRA wamejiondoa kwenye dili hili, nadhani walisema makampuni yanayotaka yapeleke sifa zake huko TBS. baada ya wiki mbili TRA, wakafanya about turn, wakasitisha mchakacho huo. huyu mama anaendela tu kuula. kwa kila gari linalotembea barababrani yeye anakula 20,000. hizi pesa zina mgawo m kubwa sana, zingine ziliokoa wabunge wa ccm, waliokuwa taabani 2005!
Pundit, its you whom you want CCM to do that, alisema watanzania ndivyo tulivyo kuwa kila mara tunashabikia vitu bila kujua content.
Kwani kila siku watu wa watanzania huwa wanaamini kila wanaloambiwa na viongozi hata bila ya kuhoji ukweli na uhalali wake .
Ndivyo tulivyo, aliwataka watanzania kuwa critical ...they should dought everything, that was his message.