Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Sehemu moja tu nadhani ndio amekosea...lakini hata hivyo amekuwa na busara ya kuomba waziri amfahamishe vizuri!..
Registration fee ya gari huwa ni ku register gari lenyewe kwa kutumia injini number (Vehicle Identification number -VIN ambayo baada ya hapo ndio inakupa ruksa ya kununua Number plate..
Kila nchi ina sheria zake ktk number plate unaweza kuwa inalipiwa kila mwaka lakini registration fee hutokea mara moja siku unayonunua gari na kupewa ownership card yaani hilo gari limekuwa registered chini ya jina lako...Na hiyo VIN haiwezi kubadilishwa kwa sababu inatokana na gari lenyewe isipokuwa jina la mnunuzi linaweza kubadilika kila gali hilo linapouzwa, number plate kila mnunuzi wa gari hilo anaweza kuwa na yake tofauti na yule aliyemuuzia.
Number plate inaweza kuwa expired na ukaliegesha gari lako juu ya mawe usiliendeshe lakini bado ni gari lako kwa sababu lipo registered ktk jina lako!
 
Mkandara,

I take issue with the "Watanzania ndivyo tulivyo" comment, just as I have always done with Nyani Ngabu in here.I take issue with the fact that he squandered this golden opportunity by not preparing himself adequately.
 

Kuna mkorogo wa maelezo hapo. Double taxation hii, nadhani anasema, ni tatizo la hiyo discretion anayopewa Waziri. Lakini wao Wabunge ndio wanatunga sheria ya kodi ya nchi. Je, tatizo hapa ni jinsi hiyo discretion inavyo tumika bila busara, au hataki Waziri atunge sheria ya kodi. Maana ndio alivyo anza. Vipi kama hiyo discretion ilitumika vizuri na Waziri? Au ana wasiwasi siku zote hii discretion itakuwa loophole ya tax abuse. Hajaanisha. Ni vigumu kuelewa ana ministirial decisions au system ya kumpa Waziri discretion.

Hapo anaongelea tena ka system ka kumpa Waziri deference, lakini anajichanganya anaposema inabidi "kukemea matendo ya aina hii." Tatizo ni kwamba wao ndio Bunge. Yeye asitegemea Waziri asijipe nguvu. Checks and balances ziko wapi sasa? Ndio kitu hiki hiki Zitto aliharibu aliposema anashangaa Mkulo hajafuta tax loopholes. Sasa wao Wabunge kazi yao nini, hususan wapinzani kama "wanashangaa... wanategemea" badala ya kusema huu upuuzi hakikatishi hapa?

ukisema unaondoa kodi kwenye magunia, kiwanda chenyewe sijui kiko wapi, sijui kama kiko hai, cha Moshi kimefungwa siku nyingi. Hivi effect yake kwa mwananchi wa kawaida iko wapi?

Hana uhakika tena. Ameshindwa kupata hii data kama kuna kiwanda cha Magunia! ha ha haaaa. Duuuh! We ni Mbunge, nyanyua simu kwa msajili wa Viwanda, au Wizarani, or whoever the heck should know!

Mheshimiwa Naibu Spika, Mtanzania alitegemea kwenye bajeti hii, bei ya cement itashuka, bei ya bati itashuka,
Kwa nini Wananchi walitegemea bei ya cement ishuke? Demand imepungua? Hajaeleza.

Point nzuri. Lakini anasema hicho ndio kitu kilicho mshtua katika suala la kodi.
Lakini kuna vitu vingine, tena labda muhimu zaidi, amevioongelea kuhusu kodi. Sasa kwa nini hiki ndio kimshtue? Tatizo la kujieleza. LOL!

labda kama imekaguliwa, ni mwaka huu kwa mara ya kwanza.
Again, hana ukahika. No homework. Halafu anakosoa vitabu vya Serikali data zimepinda. Umejiandaa nini kuongea Bungeni muda wote kabla ya Bunge?


Anasema kuna unyanyasaji unao imply lazima kuna rushwa. Halafu hapo hapo anasema inawezekana makusanyo yanaongezeka, yani kazi nzuri inafanyika! Matatizo ya kujieleza!

Halafu haelezi unyanyasaji gani umetokea? Iambie dunia basi. Kama unaongea na Mkulo kwa vi memo, hapa ndio mahala pa kutuambia wananchi what the heck kinaendelea huko. Kama ni muda hautoshi tafuta forum nyingine utueleze au edit your work better ili muda ukutoshe!
 

Kuna tofauti kubwa kati ya lugha ya kibunge au lugha ya bungeni na lugha ya jukwaani.

Umetumia muda mwingi sana mpaka kuweza kubaini hizo loopholes ndogo ndogo.

Ukimaliza, tueletee uchambuzi wa Rais Jakaya Kikwete na Wabunge wa CCM. Ukilinganisha na Dr Slaa, ni kama mbigu na ardhi.

Asha
 

Alikuwa na Dakika 15 tu; angeanza kueleza hadithi zote asingepata muda wa kueleza ufisadi wa Meremeta na mambo yote hayo aliyosema kama angekita kwenye TRA tu. Kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kupeleka mchango ama maswali kwa maandishi. Na ndicho alichokifanya. Hapo juu amesema tu kuwa amepeleka. Sasa Mkullo atawajibika kujibu. Na mind you, hajasema amepeleka Memo, amesema amepeleka ushahidi. Stop Spin. Dr Slaa amewashika pabaya. Au una hasira kwa kuwa mlikurupushwa ghafla kwenda Dodoma mkabadili vitabu vya bajeti?

Asha
 
Again, hana ukahika. No homework. Halafu anakosoa vitabu vya Serikali data zimepinda. Umejiandaa nini kuongea Bungeni muda wote kabla ya Bunge?



!

Naamini anajua kuwa CAG yuko kwenye mchakato wa kukagua lakini taarifa yake bado haijaletwa rasmi bungeni kwa hiyo ndio maana hakupaswa kusema kuwa yamekaguliwa. Ila imebidi aweke hivyo kwa kuwa Mkullo angekuja na kutoa jibu fupi kuwa serikali imeanza kukagua. Imebidi aweke wazi kwamba huko nyuma hayajakaguliwa labda sasa. Kusisitiza kuwa swali lake anaulizia ukaguzi wa nyuma sio wa sasa. Uwe unasoma kwa kuelewa Kuhani Mkuu

Asha
 
Kuhani Mkuu na Pundit

Wote mmeshindwa kuona mapungufu ya content mpaka sasa mmebaki mnakosoa style. Ni ishara kwamba Dr Slaa amejenga hoja nzuri. Kumbuka hii hotuba ameitoa papo kwa papo, hakuwa anasoma hotuba iliyoandikwa kama anavyofanya Kikwete, Mama Kikwete na wenzake. Sasa hao wengine waandikiwa na bado hawana content wala stlye.

Asha
 

That's the point. Tulikuwa tunajadili jinsi anavyoshindwa kujieleza.

Ungesoma kwa makini tunachoongelea ungeelewa tunachosema. So much for "Uwe unasoma kwa kuelewa Kuhani Mkuu."
 
That's the point. Tulikuwa tunahadili jinsi anavyoshindwa kujieleza.

Ungesoma kwa makini tunachoongelea ungeelewa tunachosema. So much for "Uwe unasoma kwa kuelewa Kuhani Mkuu."

Umethibitisha mwenyewe kuwa hujasoma na kuelewa! Lengo la kujieleza ni kueleweka. Kama wenzako wengi humu wanasema wamemuelewa Dr Slaa mchango wake, wewe ni nani hata useme kwamba ameshindwa kujieleza? Sio ameshindwa kujieleza, wewe umeshindwa kumwelewa

Asha
 
Kama wenzako wengi humu wanasema wamemuelewa Dr Slaa mchango wake, wewe ni nani hata useme kwamba ameshindwa kujieleza?

Mimi nime point out ma pitfalls kwenye argument zake na wewe umekubali zipo. Uongo?

Hao wengine ni mashabiki tu. Hamna wengi wenye fikra huria hapa JF wa kuchambua mambo bila kujali kiongozi gani kasema. Unafikiri kuwa independent analyst mchezo we dada Asha we!
 

What do you mean by pitfalls? I agreed with you that the style had some loopholes since the speech was impromtu. But all that he said was true. His content is correct. And he is the hero. I hope you saw how Mkullo praised him for his UMAKINI

Halafu umewatukana hapa wakina Mkandara, Kitila, Mwanakijiji, Nyani Ngabu et al kuwa wote ni mashabiki tu, hawana fikra huru. LOL mi simo wakija

Asha
 
Halafu umewatukana hapa wakina Mkandara, Kitila, Mwanakijiji, Nyani Ngabu et al kuwa wote ni mashabiki tu, hawana fikra huru. LOL mi simo wakija

We humo wakati ndio umelianzisha?

Mafidhuli na mahafidhina bwana!
 
We humo wakati ndio umelianzisha?

Mafidhuli na mahafidhina bwana!

Mi simo. Umelianzisha mwenyewe huko! Kwani mi ndiye niliyekutuma uwazodoe?

Halafu sasa unawaita mafidhuli! Hilo neno kali kuliko mafioso. Umeanza uchokozi na moderators?

Haya we, mi yangu macho

Asha
 

Thanks dada Asha kwa kuwa positive.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni....

Tukiongelea research.....tunataka achukue muda gani kufanya research??? Budget imekuwa presented, kuna vitabu vinne vya bajeti vya kusoma, je vinahitaji muda gani kuvipitia na kuvielewa vyote?? Je ukianza kuchunguza viwanda vya magunia viko wapi, last audit ya meremeta etc, je itachukua muda gani??

Sina uhakika ni muda gani hawa watu wanapewa hivi vitabu, vina ukubwa gani, wanaweza kukaa navyo muda gani kufanya research ili waje watoe dukuduku zao before bajeti haijapitishwa (au na mimi nikafanye research nini??) but i do think Dr Slaa kafanya kazi nzuri sana.

Lets point out weaknesses kwenye speech zao, always positive criticism builds a person na kama ni kiongozi basi itajenga jamii husika, but lets not discredit walichoongea.

Nawasilisha
 
Mi simo. Umelianzisha mwenyewe huko! Kwani mi ndiye niliyekutuma uwazodoe?

Halafu sasa unawaita mafidhuli! Hilo neno kali kuliko mafioso. Umeanza uchokozi na moderators?

Haya we, mi yangu macho

Asha acha uhuni!

Fidhuli ni weye, sio wao. LOL !
 
Asha acha uhuni!

Fidhuli ni weye, sio wao. LOL !

Kuhani mkuu, wanitusi hivyo. Haya futa kauli yako kabla sijawaambia moderators. Ni heri ungeniita mafioso kuliko fidhuli. do you know its meaning? Jamani hoja zimekuishia unaanza vioja.

Subiri wenyewe waje uliosema hawana fikra huru na wamejaa ushabiki tu.

Endelea kunionea mimi tu, akija Nyani Ngabu, utakoma- au 'ndio mlivyo'?

Asha
 
Huyu mtu ana point sana tu ila kinachomuharibia zaidi anakuwa na jazba muda wote, sawa haya mambo yanakera lakini utulivu unapoamua kuongelea kitu unahitajika ukishaingiza jazba lazima kunavitu vitaharibika lakini wote tunajua kama kuna mapungufu makubwa kwenye ile bajeti. Slaaa namuaminia na nikatika watu ninaopenda kuwasikiliza wakiwa bungeni ana challenge na CCM wanamuogopa!!!! wanajua akisimama ni virungu kwenda mbele havumilii uozo
 

Moderators watakwambia 'mwajuana kwa vilemba.' Tatizo la 'mafioso controversy' ni kwamba hakukuwa na uthibitisho. Sasa mimi wakiniuliza 'huyu wamjua alivyo?' nitasema 'sio tu twajuana, ila yeye ndo kanifundisha ufidhuli wa kuchokoza na kuchonganisha watu.'
 


Jamani Wa-Tz kwa mara nyingine tena tumepatiwa Waziri wa Fedha Bomu! Mh. awajibishwe kwa kulipotosha Bunge. Tujiulize, kama Wabunge wasingekuwa makini si ingepitishwa Bajeti feki (inayoji-contardict)? Hiyo ni aibu kubwa kwa Mh. Mkullo na Rais pia.

Upuuzi wa namna hiyo haujawahi kuwasilishwa na Waziri wa Fedha yoyote kabla yake , hata yule aliyetuambia ikibid WaTz tutalishwa nyasi ili Mkuu wa Nchi apate usafiri wa kumpaisha angani.

Mh. awajibike mwenyewe au awajibishwe ili wengine wawe makini.
Naomba kuwasilisha!
 

Nadhani bado kikweta ana nafasi japo si kiasi kikubwa ktk nchi yetu, ila watz tusisahau kuwa JK katupa hapa uhuru wa kusema jamani, mmemsahau Mk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…