Mkuu mbona unaniziba hata simuoni muongeaji bana.................Karibu sana...
Naona hata viti vya kukaa hamna, mambo gani sasa haya..........................hamkujua watakuja waalikwa wangapi?
Ngoja nismame hapa kwenye kona......................
Kopuko usipate tabu hivo...mi ntajisalimisha baada ya huu mkutano!duh ni ngumu sana kugundua nani ni nani humu aisee,but imagination zinakuja kwa baadhi ya watu,,nimeanza ku guess The Finest ni nani,BHT na Max
Ngoja nikae pembeni kidogo..hopful kwa sasa unamuona!Mkuu mbona unaniziba hata simuoni muongeaji bana.................
Kuna watu wapo kufanya u TBS zaidi na kidogo sana kusikiliza hoja....... kuna walioulizwa kama wanakula, wengine masiter duu wameuliziwa... hahahaha
Niko nje navuta mtemba wangu kwanza, nikimaliza nitajimuvuzisha ndani................................mbona viti vingi vipo wazi!! Nina kiti hapa jirani hakina mtu.
Hii ni nini mamii?..
Kopuko usipate tabu hivo...mi ntajisalimisha baada ya huu mkutano!
NN huyu anti anaeongea sasa ni nani?..
Sasa ninaona vyema. Nimekaa jirani kabisa Member mmoja.....................Anahangaika kweli kuangalia wanaoingia na kutoka, sijui kapotelewa na mtu........................Ngoja nikae pembeni kidogo..hopful kwa sasa unamuona!
Yule mama ni Josephina...
Mkuu Josephina ama Josephine FL to be!Yule mama ni Josephina...
Mkuu Josephina ama Josephine FL to be!