Gamba Jipya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 401
- 80
Duh mkuu kumbe una expectation gap!
Kazi na dawa mkuu..
Duh mkuu kumbe una expectation gap!
Sasa ninaona vyema. Nimekaa jirani kabisa Member mmoja.....................Anahangaika kweli kuangalia wanaoingia na kutoka, sijui kapotelewa na mtu........................
Huyo huyo mke wa Slaa
British Council ni CCM? By the way hatujadili siasa wala hii sio sherehe bali mkutano
mbona mmepamba kwa viti vya ccm au ni ukumbi wa ccm mnaofanyia sherehe yenu.
Dadavua basi ama tupe dondoo ya anachokinena......Mwanakijiji anatoa speech.
Mbona watu wachache au?nilitegemea wangekuwa wengi maskini...lakini haijaharibika neno. Hongereni sana kwa kuwezesha hili tukio
kaka hongera kwa maandalizi mazuri na nimependa kwa wazo hili. ningependa kufahamu mada itakayojadiliwa. Angalizo tu kuhusu Rangi ya viti. ubarikiwe.
Nimesoma post zote,hakuna hata moja inayoongolea kinachozungumzwa!
......Mwanakijiji anatoa speech.
Ina nini?