Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

Wazo zuri. Tunasubili kile kitakacho jadiriwa ikiwa ni pamoja na maazimio ya mkutano huu.
 
Sijui nitawahi? Maana bado niko kwa ofisi....
 
anayejua background na maudhui ya hii kitu aeleze kidogo basi coz siyo kila mtu anajua event yenyewe inahusu nini - if it is not for public consumption msingeweka humu basi..

ukipitia thread zote unaweza kuepuka wasiwasi kama huu, hii kitu imejadiliwa mwezi mzima na watu walijiandikisha hapahapa jukwaani.
 
Naomba kusiwepo na Kamera ya aina yoyote!!
Wewe una majungu na roho mbaya kama liavatar lako kwanini kamera zisiwepo? kwani unafikiri hapo kuna nyaraka za siri za kiintelejensia kama mlivyozoea?
 
Waalikwa? mm mbona sijaalikwa.

tuwe na utamaduni wa kusoma thread wapendwa hii kitu ulikuwa unatakiwa kujialika mwenyewe tu kwa ku-confirm tu, m-PM The Finest nadhani bado watu wanakaribishwa
 
Back
Top Bottom