Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Ndugu zangu,
Nimeipata kwenye news summary ya gazeti la The Guardian la kesho tarehe 21 Machi 2011.
Hiyo ni changamoto kubwa kwa kikwete na serikali yake. Mswahili ni mswahili tu. Wao wanadhani kwa kuwa Japan ni nchi tajiri na sisi ni maskini, basi hakuna haja ya nchi yetu kutoa msaada wa kuwasaidia wajapan katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi makubwa. Hiyo ni fikra potofu na nashukuru CHADEMA wameonyesha njia. Hongera sana CDM na Mungu awabariki.