Kutoa ni moyo CHADEMA yachangia USD 2,000 kwa ubalozi wa Japan

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ndugu zangu,

Nimeipata kwenye news summary ya gazeti la The Guardian la kesho tarehe 21 Machi 2011.

Hiyo ni changamoto kubwa kwa kikwete na serikali yake. Mswahili ni mswahili tu. Wao wanadhani kwa kuwa Japan ni nchi tajiri na sisi ni maskini, basi hakuna haja ya nchi yetu kutoa msaada wa kuwasaidia wajapan katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi makubwa. Hiyo ni fikra potofu na nashukuru CHADEMA wameonyesha njia. Hongera sana CDM na Mungu awabariki.
 
Hongereni watu wamekufa tunaweza kusema ni mapenzi ya MUNGU kwani halizuiliki. Wamekufa sio man tragedy kama Gongolamboto kwa wanaoangala NHK television it is sad for Japanese na dunia lazima iomboleze.
 
Mkuu, baada ya hii thread ndo nimekuja kujua maana halisi ya huu msemo"kutoa ni moyo si utajiri" sikuwa nime pata maana yake japo huwa nausema na kuusikia. With this topic nimejikuta napata maana na uelewa wa huo msemo. Bravo cdm.
 
Hongera sana chadema mafirauni ccm watada mnafadhiriwa na jpn lakini mungu ndo anajua tupomoja
 
hongera chadema hapa inaonyesha jinsi wakubwa wet wanavyojali mitumbo yao na vitu vya kupewa pewa tu
 
majimshindi yupo wapi aje aponde?? Manake yeye kila wanachokifanya chadema ni makosa,,, aje aponde na hili basi,,,,viva chadema,,,,
 
Wala si kiduchu kiasi gani mlichokitoa kwa wenzetu kwenye maafa mazito Japan bali ni ULE MOYO WA HURU kwenu. Wenye majonzi Japan Mungu awape tulizo na faraja.
 
CHADEMA always leads..big up wazalendo kwa kuonyesha mnawajali Wajapani wanaokabiliwa na janga kubwa kwa sasa.
 
Mkuu, baada ya hii thread ndo nimekuja kujua maana halisi ya huu msemo"kutoa ni moyo si utajiri" sikuwa nime pata maana yake japo huwa nausema na kuusikia. With this topic nimejikuta napata maana na uelewa wa huo msemo. Bravo cdm.

Biggerup Chadema.Cent moja ya masikini ni bora kuliko Milioni ya tajiri

41 Jesus sat down opposite the place where the offerings were put and watched the crowd putting their money into the temple treasury. Many rich people threw in large amounts. 42 But a poor widow came and put in two very small copper coins, worth only a fraction of a penny. 43 Calling his disciples to him, Jesus said, "I tell you the truth, this poor widow has put more into the treasury than all the others. 44 They all gave out of their wealth; but she, out of her poverty, put in everything - all she had to live on." (Mark 12:41-44: NIV)
HONGERENI SANA KAMATI KUU YA CDM KWA UAMUZI WA BUSARA!
 
Back
Top Bottom