Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,440
Mashallaaah..... Paloma ijumaa hii.
vyote ni viungo tuu....mbona mtu akiwa na mguu saizi 42 haisemwi mashaallah heeheheheheeee
Siku hizi wanawake wanatembea kama mabaunsa.....wanavaa viatu virefuuuu.....alafu wanaweka mabega na kifua juu.....ukikutana nae kwenye korido kama hamna mtu mwingine unaweza ukakimbia ukifikiri anakuja kukupa mkong'oto.
hahahahahah! ah u have made my siku! lol!
hahaha! nimetaka kukanusha roho imenisuta! hahah "guilt", ila si saaana!Hahaha.. u must be one of them....
hahaha! nimetaka kukanusha roho imenisuta! hahah "guilt", ila si saaana!
Hizi expectations za wakaka huku barabarani kumbe shughuli.....mimi nafikiri muondoko unakuja tu automatically kutokana na umbo la mtu. Hebu mtafute kimbaumbau uone kama huo mwondoko unaoutaka wewe utakuja...
Avatar zinasema mengi sana sema watu hawajui tu.........niliona yako nikajua tu lazima unapenda fashion..
uko makini, nami nimejaribu kuangalia "avatar" yako..................
Inasemaje...........
nakumbuka enzi zile wowowo tukiita msondo basi dem akipita ule msondo unavotikisika sisi tunaimba singida dodoma mwanza kigoma singida dodoma mwanza kigoma!
Nimepiga ka kicheko kidogo, masaburi duu!,Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?
Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?
Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
mengi sana hadi siwezi type!! teh teh, jus kiddin!
Tena siku hizi binti akitembea anajitikisa tikisa masaburi yake watu wanamuona "huyu wa wapi huyu.."!!