Kutenguliwa Uafisa Habari ACT-Wazalendo

Kutenguliwa Uafisa Habari ACT-Wazalendo

Ingekua amri yangu tungehoji uraia wako..... Kuunga mkono kufananishwa na Corona
 
Kwa haya uliyoandika hapa ni bora umefukuzwa mapema.
 
KUHUSU KUTENGULIWA UAFISA HABARI ACT WAZALENDO.

Mimi Suphian Juma, ninashukuru kwa fursa niliyopewa ya kuwa Afisa Habari na nina uhakika nimejitahidi kufanya kazi kubwa ya kuiweka ACT Wazalendo mahala panapostahili kwenye Mitandao ya Kijamii na hata nje ya mitandao ya kijamii si tu tangu nilipoteuliwa nafasi hiyo bali pia mara tu nilipojiunga na Chama cha ACT Wazalendo Mwaka 2015.

Nimetambua kuwa ni kosa kuanzisha mijadala inayoendana na kile ambacho Serikali inasimamia au kufaulu, ni kosa kuanzisha mjadala kwa ku-post barakoa yenye Maandishi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ni kosa kumtakia kheri Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli na vivo hivyo ni kosa kumpongeza Rais Magufuli kwa Hatua kadhaa alizochukua dhidi ya janga letu sote kama Taifa la Corona, maana vyote hivi ndivyo vilivyozua mijadala katika mitandao ya kijamii.

Kiufupi ni kosa kuanzisha mijadala yenye agenda zilizoanzishwa na vyama vingine nje ya ACT wazalendo ikiwemo CCM na CHADEMA kama nilivyofanya mara kadhaa kupitia kurasa zangu "binafsi" za mitandao ya kijamii hata kama mijadala hiyo ina manufaa kwa Taifa.

Hivyo, nimepokea kutenguliwa kwangu kama Afisa Habari wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa kwa moyo mkunjufu na hivyo nitandelea na uhuru wangu wa kujadili mambo yenye manufaa kwa Taifa langu kwenye kurasa zangu binafsi kama mwanachama wa kawaida wa ACT Wazalendo na kama Mtanzania mpenda Tanzania yake.

Aidha kipekee nawashukuru Waandishi wote wa Habari na Vyombo vyao, wanachama wenzangu, Viongozi wa Chama pamoja na Watanzania wote walionipa ushirikiano uliotukuka katika kipindi chote nilichohudumu kama Afisa Habari wa ACT Wazalendo. Nawaomba ushirikiano huo wampe pia atakayeshika kijiti hiki nilichokuwa nacho.

Aluta Continua, Daima Taifa Kwanza Leo na Kesho.

Suphian Juma,
Mei 03, 2020.
View attachment 1438783

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilishawahi ku ripotiwa (Na Makada wa CCM) Kuwa wewe ni Bwabwa na haukuwahi kukanusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli mkuu tigo inaweza isifia vodacom au vodacom kuwasifia tigo au halotel
 
Pole sana kaka, hicho ndicho chama cha ZZK, Chama chenye mwenyekiti na kiongozi mkuu. Nakushauri, usipoteze muda, Karibu sana CCM, Kimbilio LA wanaoonewa. CCM utakuwa salama. Ukibakia nje bila protection wakati una siri za nyama, Utakuwa Hatarini. Karibu sana ujiunge na Team JPM, tuchape kazi kwa maendeleo ya Taifa
 
Vp hauend kuunga mkono juhud na kishndo cha awam ya 5

Its not over until its over...[emoji769]
 
Umepanic mnoo,
wewe kama afisa habari umeshawahi kumuona afisa habari gani wa upinzani anafanya kazi za Mataga?
 
Heb
Huo mfao ni mufu. Hata hoja ya msingi ni maslahi ya taifa. Kama mtu anasifia kitu kwa maslahi ya taifa hakuna tabu kabisa.
Hebu tuonyeshe hapa bandiko lako ukilosifia ACT au chama tofauti na lumumba a.k.a utopolo fc!!!. Ukiwa kwenye mapambano huwezi kumsifia adui yako.
 
Back
Top Bottom