Mleta uzi anajihisi tu, angewapa nafasi waliomfukuza ndio waseme sababu za kumfukuza siyo yeye kutujaza maneno ambayo hayapo kwenye barua ya kumtengua.
Yeye alipaswa kujibu barua, sio kuja na hisia zake hapa.
Utetezi hutolewa baada ya kushutumiwa, sasa yeye anajitetea na hajashutumiwa kwa lolote, yeye kaondolewa kwenye nafasi aliyokuwa akihudumu basi, hakuna maelezo ya kwanini kaondolewa.
Vipi akipewa unaibu mwenyekiti atatuambia nini?!
Mnapenda sana vyeo, ndio tatizo lenu mnapopokwa mnalialia hovyo.