Je, utaendeleza utamaduni kwa kutopatia mtoto wa kike urithi au uongozi mkuu wa biashara zako?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Tumekuwa tukihimizwa na kurithishwa utamaduni wa kupatia mgao wa urithi, ardhi, mtaji au uongozi wa shughuli zetu za kiuchumi kwa vijana wa kiume.

Imani iliopo ni kuwa binti yeye akishaolewa anakuwa wa taifa lingine na sio wa taifa lako tena ingawa bado anabaki kuwa damu na mtoto wako mpendwa na mwanafamilia wa thamani.

Vp wewe kijana wa hii generation mpya, utaendeleza utamaduni huu au mtoto wako wa kike utamgawia sawia kama vile utavyofanya kwa mtoto wako wa kiume?
 
Unaanzaje kumuamini mwanamke? mkabidhi mali nayeye akamkabidhi mumewe, kama si mume hata mchepuko wake.
 
Back
Top Bottom