Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

pole sana dada yangu wewe unaonekana umeshapata ttzo la kisaikolojia cha msingi watafte wtaaalamu wa kisaiokolojia watakusaidia
 
Usifanye kosa la kumrudia wako wa zamani. Mara hii bado atakuchezea tu..ila tofauti itakua kwa ustadi wa hali ya juu sasa. Huyo ni mlafi
 
Duh! Watu wafukunyuku kama nini issue ya 2 year a go imefukuliwa upya mweh! ni noma
 
cha msingi weka malengo na nia kwenye mahusiano bila yeye, na ukimpa nafasi atakuendesha sana
 
Valentina, nadhani tatizo ni wewe mwenyewe. Lazima kwanza ubadilike na ukubali kua chenye mwanzo kina mwisho wake. Hiyo hivyo basi sio kila uhusiano utakao uanzisha utakuwepo mpaka kifo. Hata ndoa huwa zinavunjika! You must be realistic with life! mambo yakufikirika ya ache.

Sisi tumeoa wakezetu hawakuwa bikira! Jiulize walipitiwa na wanaume wangapi, waliachwa na wanaume wangapi mpaka kunifikia mimi?

unatakiwa uwe na malengo, kwamba nataka mahusiano kwamaana yamtu wakukupa raha. Kama ikitokea ndoa basi ni sawa. Ndoa itakuwa nimatokeo ya mahusiano yenu mazuri, na sio vinginevyo!

Wewe tafuta mwanaume kula raha kwanza mama.
Nimependa ya kuwa realistic in life emotions hazifai
 
Kwa ufupi dada huyu kwa mliosoma Sexology au Psycholoy ya mahusiano HAWEZI KUMUACHA HUYU MSELA NA NDIYO MAANA AMEKUJA KWENU ila kwakuwa Watz.mlio wengi mnamawazo ya mwendokasi kama kawa bila kutafakari mnachokisema au kilichosemwa au kuandikwa mnakurupuka na kutoa yenu ya moyoni au akilini TU.
Kwa maana kama angelikuwa hampendi na hataki kurudiana na msela wake wa zamani asingelikuja humu JF ku ask again,kwa ufupi hapa mnatwanga maji kwenye kinu maana kwanza hawa chura sasa hivi ni wengi in reality kuliko wanaume.
Yaani Man To Many au Many Women/Girls to Man.
Siyo ninawadharau papuchis ila ni nyeupe hii ninawapa kwa mnaofumba na kuziba masikio kwa kujifanya.
Zaidi hii ni dunia yenye ushindani wa kila kitu,hivyo sote tunapaswa ubunifu na usanifu kwenye nyanja zote achilia mbali mapenzi.
Ni hivi kuna mapungufu huenda yalitokea kati yenu na kukosa busara either yamesababishwa na mmoja wenu kwa kujua au kuto kujua na kutoa mwanya kwa kicheche kumchukua kifaranga na hatimaye ameshindwa kumla na kumtapika.
My Take Now: Wewe Mrembo kaa na mwenza wako aliye kusaliti akupe sababu na hatimaye myamalize wenyewe na kupeane ahadi upya na hatimaye kuwa wa moja tena,kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Ni rahisi mkaishi na huyu mwenzawako kuwa mnajuana tabia kwa sasa na madhaifu pamoja na uimara wa kila mmoja wenu na endapo utakaidi shauri yako kwani hakuna vijana waliotulia kwa sasa abadani zaidi ya kuhangaika na kujiua mwishowe kwa magonjwa au pressure ya maprnzi kwa kutumika na kuachwa tu.
Mkapime msameheane na mfunge ndoa Mungu awabariki na kuwasamehe dhambi zenu zote zikiwemo za ngono za awali hadi mnaumizana kwa kutoana bikra kabla ya muda wake na kama uko Dsm badilika maana huku ni uozo mtupu.
 
Aisee pole sana ndugu,ila kwakua unaishi nae fungua tu moyo wako umsamehe na kuanza kuyathamini mazuri yake. Furaha yenu irejee sehemu yake.
Muomba ushauri amekuwa mshauri.... 😕 Mashikolo mageni 😱
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom